Umekua Yahya Hussein?Game ya leo kutakua na penati na kutakua na maamuzi ya utata ya VAR.
Hiyo ni kazi ya Dully Jr.Yule anayebanaga pumbu magoli hayaingii leo ana jukumu hilo. Asisahau.
Huyo muamuzi ana hisa na man uUmekua Yahya Hussein?
Hahaha akikosekana tu leo tunakufa nyingiHiyo ni kazi ya Dully Jr.
Chaajabu sijamuona leo tangu asubuhi.
Huyu ni nani?
Huyo muamuzi ana hisa na man u
Makame huyo, enzi yuko mzee.Huyu ni nani?
Hii timu ina vibonde wengi kiasi hichi?Makame huyo, enzi yuko mzee.
Itakua ni dharau. Kaa hapo usubiri.Ushaanza kuomba msamaha, sio?
Mechi 2 goli 7 kapigwa ni kitu mbaya kwa MartinezEmi Martinez hawezi kucheza mipira ya Ward-Prowse
kabisa mkuu,beki ipo imara na kama strikers wangekua moto hizi point 3 za bure kabisa, sielewi kivipi wameflop kwa pamoja!!Man utd hajawahi tawala game yoyote vs arsenal hivi karibuni,miaka ya nyuma kidogo Kama 3yrs ago tulikua na beki mbovu ambayo ilikua inafanya makosa ambayo yalikua yanajirudia rudia,hivo walikua wanatumia opportunity hiyo kutuadhibu,
Kama strikers watakua 'awake' ni matarajio yangu makubwa kua point 3 zitakua nasi,
Sina pressure kabisa na hawa manyumbu,
Let's go gunners![]()
Kaka hii game ya leo bado sijipi matumaini kabisa ya kushinda ila tutashinda kama wachezaji watajitambua na kujua fans wanataka nini ila kwa clear picture ukifocus napata kigugumiziMan utd hajawahi tawala game yoyote vs arsenal hivi karibuni,miaka ya nyuma kidogo Kama 3yrs ago tulikua na beki mbovu ambayo ilikua inafanya makosa ambayo yalikua yanajirudia rudia,hivo walikua wanatumia opportunity hiyo kutuadhibu,
Kama strikers watakua 'awake' ni matarajio yangu makubwa kua point 3 zitakua nasi,
Sina pressure kabisa na hawa manyumbu,
Let's go gunners![]()