Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,239
- 2,021
[emoji3][emoji3][emoji3]Swali la kizushi.
Aaron Arsenal ndiyo kapata vpn leo au alikua kajificha mahali?
[emoji3][emoji3][emoji3]Swali la kizushi.
Aaron Arsenal ndiyo kapata vpn leo au alikua kajificha mahali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukamrudia nani??
Wewe ndio huonekani, nadhani sasa hivi utakuwa umejichimbia chooni,Hiyo ni kazi ya Dully Jr.
Chaajabu sijamuona leo tangu asubuhi.
Nilikuwepo ,hukuniona?[emoji23][emoji23][emoji23]Swali la kizushi.
Aaron Arsenal ndiyo kapata vpn leo au alikua kajificha mahali?
Hazikuwa na makosa yoyote yale mzee. Toka 2015 haujawahi pata ushindi old trafford. Leta usahihi hapa mzeeNilisema zina makosa
Hili hukuHivi lile lijamaa linaloletaga matokeo ya manchester liko wapi leo????
Nilikua sitaki kucheka...imenibidi nicheke tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lille wametupiga kwa Nico na Eddu alivyo mnyambilisi akaamua kuwaibia huyu Gabriel, huyu hatujanunua, TUMEWAIBIAGabriel ni Bonge la beki kaizoea EPL ndani ya muda mfupi. Ana miaka 22 lakini anacheza kama mtu mzima mwenye miak 30.
Ana vigezo vingi vya beki bora, mrefu (6'3 ft) umbo kubwa, anajua kucheza na mpira, anakaba sana, mzuri kwenye mipira ya juu.
Thamani yake itaongezeka sana ndani ya miaka 2-3 na atakuja kuwa moja ya beki bora duniani akiwa fiti na asipo Pata majeraha.
#coyg [emoji837] [emoji836] View attachment 1617426
HakunaKuna mtu bado ana majibu ya dharau juu ya Elneny?