ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,359
- 118,737
Arteta out mapema hivyo?Hii mechi ni 31st au 1st?
#ArtetaOut
Arteta out mapema hivyo?Hii mechi ni 31st au 1st?
#ArtetaOut
Walah! Sio mapema, ni wakati sahihi.Arteta out mapema hivyo?
Mi hua mgumu kusema kocha aende.Walah! Sio mapema, ni wakati sahihi.
#ArtetaOut
Joe Willock si yupo na ni mchezaji bora kabisa ndio maana kajumuishwa katika kikosi bora kilicho sheheni nyota mfano, Nicolas Pepe, Willian, Nketiah nk. Hivyo kocha ndio tatizo, anawachezaji chaguo lake lakini ameshindwa.Mi hua mgumu kusema kocha aende.
Hua mwepesi kuonyesha shida ya timu.
Enzi za Emery shida ilikua morali.
Kipindi hichi shida ni AM. Arteta katransform defense ila at the cost of attacking.
Ok acha tuone wishes zako zitajibiwaje na performance ya timu.Joe Willock si yupo na ni mchezaji bora kabisa ndio maana kajumuishwa katika kikosi bora kilicho sheheni nyota mfano, Nicolas Pepe, Willian, Nketiah nk. Hivyo kocha ndio tatizo, anawachezaji chaguo lake lakini ameshindwa.
#ArtetaOut
Umezoea kulambwa na Chid unahisi wote wepesi?Kesho Rashid Makame atawalamba lamba😂😂😂😂😂
Hizi bangi mnazovuta sijui huwa mnavutia kiwango cha mwili.#COYG
Partey anawaficha viungo wote wa man u, ushindi ndio utaanzia hapa



Kwaiyo mkuu leo utakua ManUtd kwa muda?Kesho Rashid Makame atawalamba lamba![]()
Kweli? Kwani man u hajapigwa mbili bila na Arsenal nyumbani kwake? Emery akiwa kocha? Kisha akapigwa tena na suluhuShida yenu ni away against big teams. Hapo tu.
Mapema sana leo niko na Rashid Makame ..hawa vidomo domo walianza kujinenepea😎😎😎Kwaiyo mkuu leo utakua ManUtd kwa muda?
At this moment mambo ya formation yananichosha tu wachezaji wajitambue wajue fans tunataka nini that's it4 3 3 ila mid 3 iwe 2 1.
2 Ceballos na Partey au Partey na Elneny.
1 Willian.
Front 3 iwe Auba, Laca na Pepe.
Hiyo ni unlikely so nafikiri we will go with our usual 3 4 3.
We need this victory. Laca na au Pepe wana magoli yao.
Lini wewe ulimfunga Man utd away? Lini? Haya ebu danganya tuone.... 2015 au?Kweli? Kwani man u hajapigwa mbili bila na Arsenal nyumbani kwake? Emery akiwa kocha? Kisha akapigwa tena na suluhu
Ngoja tuwapigeni bao 7, ndio hiyo Arteta out ita noga zaidi.Joe Willock si yupo na ni mchezaji bora kabisa ndio maana kajumuishwa katika kikosi bora kilicho sheheni nyota mfano, Nicolas Pepe, Willian, Nketiah nk. Hivyo kocha ndio tatizo, anawachezaji chaguo lake lakini ameshindwa.
#ArtetaOut