Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nice performance from the gunners today,

Tunasubiri point 3 nyingine za Emirates.
 
Happy happy happy day

Xhaka na Ceballos naona kuna mtu atakosa number kombi ya Thomas and Elneny si ya kitoto Big up Guys
Wakati Partey akijishughulisha na uangalizi wa ngome na eneo la kati, Elneny alikuwa busy kumshughulikia na kumvunja kabisa Lindelof na beki wao Luke Shaw kimyakimya bila kelele wasilete madhara.

Ndo maana baada ya kipenga cha mwisho Maitland- niles akampa high five.

Elneny ni mchezaji muhimu sana kwetu kwa sasa khasa hizi mechi kubwa.
 
Back
Top Bottom