Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lakini mkuu game mentality hii itabidi unisaidie vizuri.

Mdogo wangu ameoa mzungu. Taratibu zao za maisha ni tofauti sana, mawifi wakianza maneno yao ya chokochoko nawaambia tulieni. Si mlishangilia sana nyinyi siku ile ya harusi hamkujua mtoto wa watu hajazoea kwenda sokoni na kukaa vibarazani jioni kupiga umbea??

Tulipomsajili ozil 2013 tukashangilia sana hizi mambo za kukaba hatukuzijua?? Tulipomuongezea mshahara na mkataba bado tu hatukuzijua hizi mambo??

Issue ni hiyo ya China na kukataa pay cut during Corona.
Kuna stats zake niliandaa jana wakati nakujibu hii comment, kwa bahati mbaya wakati naandika tukapata ajali mbaya ya bus hiyo simu ikapotea kwenye hilo tukio.
 
Kweli nimeanza kuamini yule bwana aliyesema religion is the opium of the people alikuwa sahihi.. Yaani kweli wewe kama ungekuwa kocha ungeendelea kumpanga goigoi Ozil ambae form yake inapanda na kushuka kama homa za vipindi!.. Halafu ni kama unapotosha ukweli makusudi unapojaribu kuonyesha kuwa hapangwi kwa kuwa yeye ni Muslim.. Hivi Elneny ni Siku hizi Mkatoliki? Maana naona anacheza kila mechi, au Mustafi nae ni Musabato!.. Yaani kwa sababu ya udini mnaanza kumtetea flop Ozil.. Mtu ambae alicheza karibu mechi kumi bila assist aendelee kuvumiliwa tu. Kwenye issue ya covid 19 alijaribu kugomesha wachezaji wenzake wagomee makato ila nyie mnaona hiyo ni sawa tu!... Kimsingi huyu bwana aachwe aende kwa kuwa anatuvuluga nje ya uwanja... Bro mimi nakuomba muache kuingiza udini kwenye michezo, inakera sana aisee!
Ni wapi nimeonyesha hapangwi kwa kuwa yeye ni muislam?? Mkuu tafadhali sana usiniwekee maneno kinywani mwangu. Nimesema issue za ozil ni political. Ni off the pitch issue. Hebu nionyeshe nliposema hapangwi kwa kuwa yeye ni Muslim.

Huo utakuwa ni ujuha wa hali ya juu tukitaka kuanza kupanga kikosi kwa kuangalia dini za watu.

Nimesema ozil ameona issue isiyo ya sawa akaamua kupaza sauti na atasimamia anachokiamini mpaka mwisho wake. Done!!!!

SIJASEMA HACHEZESHWI KWA KUWA YEYE NI MUSLIM
 
Tuelewane.

Siyo hapangwi kwakua muislamu au hayupo form. Ni hapangwi kutokana na ishu za kisiasa zaidi za nje ya uwanja.
Na hichi ndicho nlichokisema au wengi tunachokisema.

Jamaa aniombe radhi aiseee. Asitake kunisingizia
 
Blunder moja isifanye mtu asipangwe tena, kwa maoni yangu Lacca ana uwezo mkubwa wa holdup play kuliko Auba, games za caliber ya city tunataka striker atakayeweza kukaa na mpira.

Katikati nakubali Xhaka apumzishwe, aanze Partey na Elneny, then Ceballos awe more advanced.
Kuna mdau hapo juu anataka pepe aanze against city kwa sababu pepe anauwezo wa kukaa na mipira (holdup play).

Hii kazi baada ya kuondoka Giroud basi mtu anaeiweza zaidi ni lacca kwa pale kwetu
 
Takwimu:Hakuna mchezaji yeyote aliyewahi kuichezea Arsenal safu ya ulinzi aliyefunga husika kwenye magoli mengi zaidi kumzidi Hector Bellerin.

Amehusika kwenye mabao 27 akiwa na jumla ya mabao 7 pasi za mabao 20 akiwa ameichezea Arsenal michezo 162 akiokoa nafasi hatari langoni 53.

#RespectView attachment 1597478
Duuuh. Mimi huwa namuona kama akifika mbele anafanya masihara. Cross zinagonga mabeki, akipigiwa through pass hamalizii, saa zingine hamtoki beki akimpiga chenga na inakuwa kama mbio zake ni za bure. Kumbe anafanya vizuri tu. Je hii ni ubora wake au udhaifu wetu kwenye kutengeneza nafasi za kufunga kupitia viungo na washambuliaji wetu? Naona kama anacheza chini ya kiwango chake halisi. Anatakiwa kuwa anafunga sana tu na kutoa assists.
 
Mkuu nikiri kwamba me ni miongoni mwa fans wakubwa sn wa Ozil, tatizo kubwa la Ozil ni kutaka kubehave personally wakati yupo kwenye organization yenye principles.

Unapokuwa kwenye organization yoyote not just a football club, unakuwa umekubali kuishi chini ya utaratibu husika.

Kitendo alichofanya Ozil ni ukweli usiofichika kuwa ameiathiri club sana, huko juu watu wamejaribu kusite players wengine ambao ni muslims na hawakutoa comments zozote.

Naamini sio kwamba hawakuguswa lkn walitambua na kuheshimu taratibu zinazo waongoza kwenye vilabu vyao. Yeye ameng'ang'ania misimamo yake hata baada ya kuona madhara, mfano angeomba radhi tu angepungukiwa nini?
Ok
 
Ni kweli kabisa tulimjua vema na Wenger alijitahidi kubadili mfumo ili kumpa nafasi Ozil lakini kwa sasa kocha sio Wenger tena. Lakini pia kwa mchezaji wa level yake ni rahisi mtu kuamini he can change for the better.

Watu kadhaa wanasema Ozil mvivu, mimi nakataa kwa 100%. Ukiangalia stats zake kipindi cha Wenger alikuwa sometimes anatop list ya ground coverage na akishuka atakuwa wapili au watatu.

Siyo mvivu ila hafati tactical instructions, ndio maana anakuwepo uwanjani na anazunguka muda mwingi(average ya 10km+) lakini haonekani anachofanya. Hata Wenger juzi anahojiwa alikiri Ozil sio mzuri tactically kwa sabab hiyo.
Sawa
 
Mkuu nikiri kwamba me ni miongoni mwa fans wakubwa sn wa Ozil, tatizo kubwa la Ozil ni kutaka kubehave personally wakati yupo kwenye organization yenye principles.

Unapokuwa kwenye organization yoyote not just a football club, unakuwa umekubali kuishi chini ya utaratibu husika.

Kitendo alichofanya Ozil ni ukweli usiofichika kuwa ameiathiri club sana, huko juu watu wamejaribu kusite players wengine ambao ni muslims na hawakutoa comments zozote.

Naamini sio kwamba hawakuguswa lkn walitambua na kuheshimu taratibu zinazo waongoza kwenye vilabu vyao. Yeye ameng'ang'ania misimamo yake hata baada ya kuona madhara, mfano angeomba radhi tu angepungukiwa nini?Se

Mkuu nikiri kwamba me ni miongoni mwa fans wakubwa sn wa Ozil, tatizo kubwa la Ozil ni kutaka kubehave personally wakati yupo kwenye organization yenye principles.

Unapokuwa kwenye organization yoyote not just a football club, unakuwa umekubali kuishi chini ya utaratibu husika.

Kitendo alichofanya Ozil ni ukweli usiofichika kuwa ameiathiri club sana, huko juu watu wamejaribu kusite players wengine ambao ni muslims na hawakutoa comments zozote.

Naamini sio kwamba hawakuguswa lkn walitambua na kuheshimu taratibu zinazo waongoza kwenye vilabu vyao. Yeye ameng'ang'ania misimamo yake hata baada ya kuona madhara, mfano angeomba radhi tu angepungukiwa nini?
Sensible piece of writting,I dont know what came over him, but it has left a lesson to the club. I hope next time they draft a contract with any incoming player, they will include clauses that will deter the bad behavior shown by ozil. Hopefully it will be difficult for him to secure any decent contract, I was his fan, but I have written him off
 
Nadhani hata hali ilivyo sasa bado club ingeweza kumfungulia law suit Ozil, ameleta madhara makubwa sana kimapato na mahusiano ya club na jamii mbalimbali. Nahisi ni busara tu imetumika kumuacha, maana akidaiwa kufidia damage alizoleta atafilisika kila kitu.

Jamaa amenisikitisha sn vitendo vyake, hana professionalism kabisa. Sijui hata km ana watu wa kumshauri, eti juzi anajitolea kumlipa yule katuni wa Gunners ambaye analipwa $1000 huku kasababisha loss za mabilioni kwa club, Ozil ni aina ya watu flani masnitch sn afu anajipaka rangi mbele za watu.

Kama ulivyosema sidhani kama atapata deal ya maana baada ya kuondoka Arsenal kwa sababu ni club gani iliyo tayari kuingia mgogoro na soko la China kwa zama hizi?

Siku zote watu wakweli, wanaosimamia haki, wasioupenda utumwa, wenye msimamo na wanaosimamia wanachokiamini pia wasiopindishwa na kupelekeshwa na watu! Huonekana jeuri, kiburi na wakorofi.
 
Siku zote watu wakweli, wanaosimamia haki, wasioupenda utumwa, wenye msimamo na wanaosimamia wanachokiamini pia wasiopindishwa na kupelekeshwa na watu! Huonekana jeuri, kiburi na wakorofi.
Sasa mkuu, unaleta misimamo yako kwenye ajira ya watu?

Hata me nna misimamo yangu ambayo siko tayari kucompromise hivyo niliamua kuachana na masuala ya ajira ili nibaki na uhuru wangu.

Hakuna mtu anamkataza kuwa na misimamo yake lakin je, anapoifanyia ni mahali sahihi?

Watu wamejenga reputation ya club for years, kisha we mtu mmoja uje uharibu image sababu ya unachokiita misimamo yako?

Nakumbuka yule Papis Demba Cisse akichezea Newcastle alikataa kuvaa jezi yenye udhamini ya kampuni ya vileo kwa misimamo ya kidini, wakamkubalia then siku kadhaa mbele waka release picha zake yuko club anapiga whisky, kwa aibu ilibidi avae jezi na ile logo.

Sasa huyu Ozil ana huo utakatifu anaojifanya kuuwekea misimamo yake?
 
Back
Top Bottom