Tuelewane.Kweli nimeanza kuamini yule bwana aliyesema religion is the opium of the people alikuwa sahihi.. Yaani kweli wewe kama ungekuwa kocha ungeendelea kumpanga goigoi Ozil ambae form yake inapanda na kushuka kama homa za vipindi!.. Halafu ni kama unapotosha ukweli makusudi unapojaribu kuonyesha kuwa hapangwi kwa kuwa yeye ni Muslim.. Hivi Elneny ni Siku hizi Mkatoliki? Maana naona anacheza kila mechi, au Mustafi nae ni Musabato!.. Yaani kwa sababu ya udini mnaanza kumtetea flop Ozil.. Mtu ambae alicheza karibu mechi kumi bila assist aendelee kuvumiliwa tu. Kwenye issue ya covid 19 alijaribu kugomesha wachezaji wenzake wagomee makato ila nyie mnaona hiyo ni sawa tu!... Kimsingi huyu bwana aachwe aende kwa kuwa anatuvuluga nje ya uwanja... Bro mimi nakuomba muache kuingiza udini kwenye michezo, inakera sana aisee!
Siyo hapangwi kwakua muislamu au hayupo form. Ni hapangwi kutokana na ishu za kisiasa zaidi za nje ya uwanja.
Takwimu:Hakuna mchezaji yeyote aliyewahi kuichezea Arsenal safu ya ulinzi aliyefunga husika kwenye magoli mengi zaidi kumzidi Hector Bellerin.