Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa mkuu, unaleta misimamo yako kwenye ajira ya watu?

Hata me nna misimamo yangu ambayo siko tayari kucompromise hivyo niliamua kuachana na masuala ya ajira ili nibaki na uhuru wangu.

Hakuna mtu anamkataza kuwa na misimamo yake lakin je, anapoifanyia ni mahali sahihi?

Watu wamejenga reputation ya club for years, kisha we mtu mmoja uje uharibu image sababu ya unachokiita misimamo yako?

Nakumbuka yule Papis Demba Cisse akichezea Newcastle alikataa kuvaa jezi yenye udhamini ya kampuni ya vileo kwa misimamo ya kidini, wakamkubalia then siku kadhaa mbele waka release picha zake yuko club anapiga whisky, kwa aibu ilibidi avae jezi na ile logo.

Sasa huyu Ozil ana huo utakatifu anaojifanya kuuwekea misimamo yake?
Ozil tunakaribia kumaliza mkataba wake June. Natumaini kama hatacheza mambo ya nje yataisha kimya kimya. Sioni ubaya wake kiasi unavyoona wewe lakini natumaini tutajitahidi kuziba pengo lake uwanjani kwa mbinu bora na tutafanikiwa. Itabidi tupambane tu tuvumilie msimu huu na msimu ujao tutarudi tena. Kama China hawataonesha mechi zetu yeye akiwa muajiriwa wetu, tutaumia sisi ni kila timu inayotakiwa kukutana nasi, wakianza Man City Jumapili. Kama yuko sahihi na msimamo wake, kuna tunaoumia na wapo wanaofurahia kuwa wana mtu anaewajali hata kama ni mmoja tu kuliko maelfu wasioonesha kujali kwao. Ngumu hii.
 
Ozil tunakaribia kumaliza mkataba wake June. Natumaini kama hatacheza mambo ya nje yataisha kimya kimya kimya. Sioni ubaya wake kiasi unavyoona wewe lakini natumaini tutajitahidi kuziba pengo lake uwanjani kwa mbinu bora na tutafanikiwa. Itabidi tupambane tu tuvumilie msimu huu na msimu ujao tutarudi tena. Kama China hawataonesha mechi zetu yeye akiwa muajiriwa wetu, tutaumia sisi ni kila timu inayotakiwa kukutana nasi, wakianza Man City Jumapili. Kama yuko sahihi na msimamo wake, kuna tunaoumia na wapo wanaofurahia kuwa wana mtu anaewajali hata kama ni mmoja tu kuliko maelfu wasioonesha kujali kwao. Ngumu hii.
mfano Mm ni mmojawapo wa upande wa Ozil! Pesa na Utafutaji rizq usimpofushe mtu na Imani yake!
 
Siku zote watu wakweli, wanaosimamia haki, wasioupenda utumwa, wenye msimamo na wanaosimamia wanachokiamini pia wasiopindishwa na kupelekeshwa na watu! Huonekana jeuri, kiburi na wakorofi.
Nafikiri bado hujamuelewa jamaa yeye hakatai Ozil hasiseme hasitetee bali afanye hivyo akiwa nje ya ajira ukikubali kuajiriwa umekubali na masharti yao ndo maana hata siasa ukiwa ni mtumishi wa taasisi fulani serikali au binafsi unasimama kwanza kazi.
 
Naona Jumapili mbali sana. Kuna points tatu pale Etihad.
City kwa sasa ana hali ngumu, tukikutana naye hatutakiwi kumuacha ingawa najua Pep hatataka kuaibishwa na 'kijana' wake kwa mara pili.
 
City kwa sasa ana hali ngumu, tukikutana naye hatutakiwi kumuacha ingawa najua Pep hatataka kuaibishwa na 'kijana' wake kwa mara pili.
Kwa nini hii game iko mbali hivi aisee? Yaani sasa tuna risk za injuries na wachezaji ku test positive Corona... hawa tulitakiwa tucheze nao kabla ya International break maana tungechukua points 3 kiulaini na tungepaa kwa confidence. Ila daah. Wameponea chupu chupu.
 
Jacob Partey told My Joy Online: “We actually weren’t disturbed by anything because we hoped a bigger team will come for Partey. We were aware of the [other teams that were interested]: Juventus, Chelsea and so forth. So through all of this we knew God was with us. From that minute we started to dance to ‘Party after Party’.”

Hii bigger team wanayoiongelea ni sisi hapa. Kumbe wanaona Chelsea na Juventus kama timu ndongo 😀😀 kipendacho roho ama kweli.
Baada ya hapo ni Parte after Parte hadi Emirates
 
Sasa mkuu, unaleta misimamo yako kwenye ajira ya watu?

Hata me nna misimamo yangu ambayo siko tayari kucompromise hivyo niliamua kuachana na masuala ya ajira ili nibaki na uhuru wangu.

Hakuna mtu anamkataza kuwa na misimamo yake lakin je, anapoifanyia ni mahali sahihi?

Watu wamejenga reputation ya club for years, kisha we mtu mmoja uje uharibu image sababu ya unachokiita misimamo yako?

Nakumbuka yule Papis Demba Cisse akichezea Newcastle alikataa kuvaa jezi yenye udhamini ya kampuni ya vileo kwa misimamo ya kidini, wakamkubalia then siku kadhaa mbele waka release picha zake yuko club anapiga whisky, kwa aibu ilibidi avae jezi na ile logo.

Sasa huyu Ozil ana huo utakatifu anaojifanya kuuwekea misimamo yake?
Haya mambo hututakiwi kuyaongelea saaaaaanaaaa, mambo ya imani ni very complex na ni nyeti sana Mungu ndio anajua nani yuko kwenye right way..
Nafikiri tungejikita zaidi katika kuuzungumzia mpira na timu yetu, hiki ndicho kilichotuunganisha hapa.
 
Ozil tunakaribia kumaliza mkataba wake June. Natumaini kama hatacheza mambo ya nje yataisha kimya kimya. Sioni ubaya wake kiasi unavyoona wewe lakini natumaini tutajitahidi kuziba pengo lake uwanjani kwa mbinu bora na tutafanikiwa. Itabidi tupambane tu tuvumilie msimu huu na msimu ujao tutarudi tena. Kama China hawataonesha mechi zetu yeye akiwa muajiriwa wetu, tutaumia sisi ni kila timu inayotakiwa kukutana nasi, wakianza Man City Jumapili. Kama yuko sahihi na msimamo wake, kuna tunaoumia na wapo wanaofurahia kuwa wana mtu anaewajali hata kama ni mmoja tu kuliko maelfu wasioonesha kujali kwao. Ngumu hii.
Swadakta, huu mjadala uishe hapa. Umeconclude vema mkuu
 
Arsenal are expecting Thomas Partey at London Colney on Wednesday. [@charles_watts] #afc

He just gave two assist in Ghana's (Black Stars)5:1win against Qatar
 
appearances
goals
Goal of the Season winner

Not a bad debut season, Gabi! https://t.co/IZV9EBG3i5
IMG_20201012_205604.jpg
 
Arteta alizungumza na Houssem Aouar na kumshawishi ajiunge na Arsenal. Ofa ya awali ya Arsenal ilikataliwa na Edu alisema atazungumza na akina Kroenke na arudi na ofa kubwa.

Lakini kwa kweli, alikuwa akicheza na muda akiishia kuelezea kwa Wakala wa mchezaji kwamba alikuwa bado hajawasiliana na Kroenke Sports & Entertainment.

Kati ya Arteta na Edu, nia ya kumsajiri Aouar labda haikuwa sawa .

[@Nabil_djellit ]
 
Kuna mdau hapo juu anataka pepe aanze against city kwa sababu pepe anauwezo wa kukaa na mipira (holdup play).

Hii kazi baada ya kuondoka Giroud basi mtu anaeiweza zaidi ni lacca kwa pale kwetu
Mkuu, ukaaji na mpira wa Giroud ni tofauti na wa Pepé..

Giroud hana skills, anacho offer ni kule ku hold mipira tu.. ila hawezi kupunguza wapinzani wawili au watatu kisha aka create chance.
Applies the same kwa Laca.

Tatizo jengine la Laca ni kwamba ha press inavyotakiwa. Halafu anawahi kuchoka, ndio maana zikija chance kama zile na Liverpool anakosa ufanisi kwenye kumalizia.

Hapa wanaofuatilia Basketball wanaelewa vizuri kwanini wachezaji wa Basketball wanapumzika mara kwa mara.

Hivyo tunamhitaji zaidi Pepé kwenye hiyo game huku Auba akicheza CF.

Sina shaka Auba ana sifa zote za kushambulia.
 
Nafikiri tunamhitaji zaidi laccazette unapocheza na city a nilazima uwe na mtu wa possession ambae naamini lacca nimtu wa aina hiyo,

Sina imani sana na umiliki mpira wa Pepe naona anahitaji zaidi space kubwa kuweza kufanya jambo lake ni aina ya wachezaji kama Walcott kwenye nafasi zakubanywa hua anastruggle sana kutoka.

Nilifikiri tutasajili angalau center striker mmoja ambae ni mrefu kuweza kuishape timu kwenye mifumo tofauti.naona kama tuko wachache.kutegemea vimo vya akina Martinelli na Nketiah napata ukakasi kidogo.
 
Back
Top Bottom