Elneny n midfielder tukikutana na timu ndogo, ambazo hazina presha kubwa. Elneny unaweza ukasema n young xavi
Game ngumu elneny haziwezi kabisa, mfano wa haraka game na Liverpool elneny kapiga forward pass 1 back pass zaid ya 20
Partey kumuweka na elneny n kutafuta matusi kwa liver7 na wadogo zetu Chelsea
Xhaka muweke na partey ninauhakika kiungo kutakua sold sana,
Cebalos muweke mbele yao. Then elneny atokee sub
Narudia tena Mohammed Elneny n mchezaj tukikutana na hiz timu ndogo ndogo
Watu kama de brune, Silver, Rodri,
Wanahitaji mtu Mwenye roho mbaya ambae tulikua tunamtegemea xhaka tu, bora sasa ameongezeka huyu partey
Mkiniletea stats zilizoonesha elneny ka perform vzur katika big match.
Mimi nitaletea dawa ya corona, mashabiki waingie uwanjani