Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hakuna Taarifa Concrete kabisa kuwa tunamuhitajiSimjui huyu. Tunamtaka? Tunamhitaji?
Kwanza Non home grown wameshajaa ,
Kifupi 99% dirisha tulishafunga
Hakuna Taarifa Concrete kabisa kuwa tunamuhitajiSimjui huyu. Tunamtaka? Tunamhitaji?
hilo lipo wazi.Mkuu kama ulikuwa hujui Aaron Arsenal ana chuki iliyopitiliza juu ya uislam
Poa. Basi kilichobakia ni kuimba tu anthem ya 'Partey after Partey after Partey after Partey!' kutoka Clock End.Hakuna Taarifa Concrete kabisa kuwa tunamuhitaji
Kwanza Non home grown wameshajaa ,
Kifupi 99% dirisha tulishafunga
Ngoja Wale wahuni wa Clock End wamtungie Song kabisa kama la Ceballos au ToreiraPoa. Basi kilichobakia ni kuimba tu anthem ya 'Partey after Partey after Partey after Partey!' kutoka Clock End.
HahahaMzee hii issue wewe na gspain mtatoana roho 😄😄😄😄😄😄
This shit for real?Mkuu kama ulikuwa hujui Aaron Arsenal ana chuki iliyopitiliza juu ya uislam
Huyu jamaa ana Ni attack personally sana , sijawahi kujua shida nn, hilo swala la Ozil wala sijaweka udini, ila kuonesha tu bodi ya Arsenal ina haki , imekuwa nongwaThis shit for real?
Let's talk futbol mkuu, achana na hizo habari na hisia za watu. Watu watafikiri wanavyotaka coz kila mtu hapa ana mrengo wake, iwe kisiasa, kidini au vinginevyo.Huyu jamaa ana Ni attack personally sana , sijawahi kujua shida nn, hilo swala la Ozil wala sijaweka udini, ila kuonesha tu bodi ya Arsenal ina haki , imekuwa nongwa
Shukran ,nimekuelewaLet's talk futbol mkuu, achana na hizo habari na hisia za watu. Watu watafikiri wanavyotaka coz kila mtu hapa ana mrengo wake, iwe kisiasa, kidini au vinginevyo.
Kinachotuunganisha hapa ni Arsenal, napenda kusoma michango yenu, so let's talk futbol.
Nataka wampatie wa kiafrika. Time to Party wa Flavour au Parte after Parte wa BigtrilNgoja Wale wahuni wa Clock End wamtungie Song kabisa kama la Ceballos au Toreira
We jamaa hatimaye umekua senior memberNataka wampatie wa kiafrika. Time to Party wa Flavour au Parte after Parte wa Bigtril
😀 😀 😀 Ni furaha kwangu kuingia humu na kukutana na Gunners wenzangu, kubadilishana mawazo na kupambana na vivamizi kutoka nyuzi za wapinzani.💪💪COYG.We jamaa hatimaye umekua senior member
Xhaka ametumika sana chini ya Arteta , jamaa amecheza mechi karibu zote , kapumzika kidogo sana ,Boko alilotoa Xhaka ni muendelezo wa kiwango akichokionyesha ile siku tunacheza na liva na siku ya mechi ya Sheffield.
Usione ni bahati mbaya. Nilisema Elneny atafanya Partey asionekane umuhimu wake ila sasa ni Elneny anafanya Xhaka aonekane hana msaada.
Pia nilisema tumebakisha wiki mbili za kuangalia nani alikua sahihi kati ya mimi na mliokua mnanipinga. Now tumebakisha siku tano tu.
Kusema kweli I wish niwe wrong ila ndiyo vile. Let's see.
Kitakachowakuta hawa Citeh...acha tu.My prediction Vs CityView attachment 1597293
Kama mimi ndiyo kocha.My prediction Vs CityView attachment 1597293
Kweli nimeanza kuamini yule bwana aliyesema religion is the opium of the people alikuwa sahihi.. Yaani kweli wewe kama ungekuwa kocha ungeendelea kumpanga goigoi Ozil ambae form yake inapanda na kushuka kama homa za vipindi!.. Halafu ni kama unapotosha ukweli makusudi unapojaribu kuonyesha kuwa hapangwi kwa kuwa yeye ni Muslim.. Hivi Elneny ni Siku hizi Mkatoliki? Maana naona anacheza kila mechi, au Mustafi nae ni Musabato!.. Yaani kwa sababu ya udini mnaanza kumtetea flop Ozil.. Mtu ambae alicheza karibu mechi kumi bila assist aendelee kuvumiliwa tu. Kwenye issue ya covid 19 alijaribu kugomesha wachezaji wenzake wagomee makato ila nyie mnaona hiyo ni sawa tu!... Kimsingi huyu bwana aachwe aende kwa kuwa anatuvuluga nje ya uwanja... Bro mimi nakuomba muache kuingiza udini kwenye michezo, inakera sana aisee!That's why nawashangaa manguli au wanaojiita manguli kusema eti ozil doesn't fit in the system au sijui ozil hakabi au sijui bla bla nyengine.
Ozil issue is political and that's the end of story.
Ozil is the type of people who will stand on what they believe until the last drops of their blood
Kama atacheza 4-3-3 kati ningeanzaKama mimi ndiyo kocha.
Xhaka haanzi.
Ataanza Ceballos ama Elneny.
Huku mbele itakua Pepe, Auba na Willian.
Lacazette bado anakumbukwa kwa blunder zake kwa Liva.
Halafu ujue tunaweza kuipata combination nzuri ya Partey Elneny ceballosKama mimi ndiyo kocha.
Xhaka haanzi.
Ataanza Ceballos ama Elneny.
Huku mbele itakua Pepe, Auba na Willian.
Lacazette bado anakumbukwa kwa blunder zake kwa Liva.