Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ndio maana nilisema nitaungana na Arsenal kwenye hili dili kama alivyosema DullyJrDeal la Hossem Aour ....Kaka ake alikata Waya pia
achilia mbali Rais wa LyonView attachment 1594900
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Arsenal walifika dau la €40m+add ons
Huyu kaka yake pekee anataka €13m
Kwahiyo Aouar angenunuliwa karibu €60m kitu ambacho sio sahihi
Hii michezo Alikuwa anaifanya Raul Sanheil .
Kwa Pepe Katoa €80m
Mendez kapewa €10m
Yeye pia kavuta % yake
Kwa Leno pia Kafanya michezo hii
KSE chini ya Mwanasheria Nguli Tim Lewis hawataki Overprice yakuumiza
Mbona kwa Partey ,Camp yake imepata Mgao wa €2.5m lakini sio wakuumiza Klabu .
Most interactions