Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 304
Ngoma imeisha Haraka haraka nakumbuka mechi ya bragga kwenye CL alifunga na left tena volley ngoja nirudi nyumbani niingie maktaba ndio naondoka pub sasaKuna mtu anaweza kunikumbusha lini alimuona Fab anascore kwa Left foot?????? To me ni mara ya kwanza...........