Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 5,003
Hana Mke.......
Ana mchumba ni Carla Cutie anaishi naye ndani kama mke na inasemekana kashamtia pumzi tumboni kwasasa anamimba. (Rumor has it) Cheki hii pic
Hana Mke.......
Its almost HT na tumeshindwa kabisa kuwafunga hawa Jamaa......AW aingize Kikosi cha kisasi (KKS) Song, Nasri and Walcott should get in for Denilson, Arshavin and Bendtner
Nimekusoma kaka......Ana mchumba ni Carla Cutie anaishi naye ndani kama mke na inasemekana kashamtia pumzi tumboni kwasasa anamimba. (Rumor has it) Cheki hii pic
Nadhani kuna sub 2 zilizo baki! Kumbuka Song ameishakuwa substituted! Fab anaboa hana creativity pale kati kati
Song au Sagna???????
Nimekusoma kaka......
Jamaa naona wanatusumbua sana na tuwe na subira half ya 2 mambo yatabadilika
Yaani huyu mzee Wenger huwa hajifumzi kutokana na makosa yake ya kila siku. He is very concervative!Its almost HT na tumeshindwa kabisa kuwafunga hawa Jamaa......AW aingize Kikosi cha kisasi (KKS) Song, Nasri and Walcott should get in for Denilson, Arshavin and Bendtner
Sawa mkuu labda wapate set pieces ila nakuahidi kwenye dakika 75 walcoltt anakuja kuwamaliza jamaa wameshajikoe tunahitaji kumaintain tempo tu. 3-0 matokeo weka dau basiKabisa Ipswich watatangulia tena! from set pieces
Yaani huyu mzee Wenger huwa hajifumzi kutokana na makosa yake ya kila siku. He is very concervative!
HT Bila bila ????????? Ok...kuna furaha upande wa Pili......Man U keshapigwa viwili....Ngoja nikastarehe upande wa Kule......
HT Bila bila ????????? Ok...kuna furaha upande wa Pili......Man U keshapigwa viwili....Ngoja nikastarehe upande wa Kule......
Nadhani kikosi alichokipanga ni kizuri tu ,tuwape credit Ipswich wame defend vizuri sana.
Mabadiriko yaje sasa kuanzia kipindi cha pili sio dakika ya 60 na nadhani Walcott for Bedtner na Nasri for Arshavin will win the game.Kama Wenger atasubiri dakika za mwisho tunaweza kuaibika kutokana na jinsi Ipswich wanavyokaba.
Sawa mkuu labda wapate set pieces ila nakuahidi kwenye dakika 75 walcoltt anakuja kuwamaliza jamaa wameshajikoe tunahitaji kumaintain tempo tu. 3-0 matokeo weka dau basi
Bado mapema mkuu tuendelee kubana tunguli usisheherekee kwanza lol.