Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nasri 4 Arshavin Theo 4 Fabregas hapo ndio tutashinda
 
Sasa wataacha kudifendi 10 nyuma ya boksi na ndipo tutawafunga
 
bennnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa wataachia zaidi hawa.

THAT WAS PERFECT BALL CONTROL.....HIGH LEVEL SKILLS FROM THE DEN.............SWAFI SANA.......i REALLY LOVE THIS GOAL.....
 
koscienlyyyyyyyyyyyyyyyyyy wabena sasa wanaaanza kuachia wenyewe 2-0 agg 2-1.

MORE THAN A BEAUTIFUL HEADER........Hawa watoto wanakaa na ushahidi kwa kuisumbua mahakama??????????Pambavvvvv kabisa hawa.....
 
Its tym up aingie Walcott aje awamalize na Mambio yake koz sasa wanakuja kushambulia hawa.........Kutakua na counter za kutosha tu......
 
refa ni sehemu ya mchezaji imekuwaje kapiga filimbi kwa vile kaingilia mpira baada kuona sisi tuko kwenye position ya kufunga?
 
fabregasssssssssssssssssssssssssssssssss safiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hawa b'pool ovyo kabisa dakika 70 unaongoza matokeo yke unapigwa bao 3 ktk dakika 20?
 
Kuna mtu anaweza kunikumbusha lini alimuona Fab anascore kwa Left foot?????? To me ni mara ya kwanza...........
 
Kuna mtu anaweza kunikumbusha lini alimuona Fab anascore kwa Left foot?????? To me ni mara ya kwanza...........
Mkuu umenipa kitendawili, maana mimi ni mzee wa statistics kama J. Motson ila nakuna kichwa, ngoja nitakuja na jibu
 
Back
Top Bottom