Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duuh Nasri hio noma I hope atapona haraka.

Naona ako ka diaby kamepangwa ,vipi anakipiga au ndio kama kawaida yake kusinzia tu?

Thanks mkuu mbu kwa updates.

...team nzima haina uhai, hopefully kipindi cha pili Fabregas na Wacott wataingia kama kawaida.

Squillaci Red Carded!
 
With this red card???? hawa madogo lazima watarudi.... Defensively hatupo poa kwa sana.....
 
straight red card squillaci haya tuone itakuwaje

...ni noma tupu.
Huyu Scuillaci hana tofauti na kina Senderos, au Cygan.
Arsene Wenger amebakiza masaa machache kusajili CB wa maana kabla ya 31st Janauary.

Half Time.
 
half time tunaongoza 1-0 tunacheza na 10 men lakini bado tupo OK isipokuwa tuangalie sana hawa jamaa ni wazuri katika counter-attack, wana jamaa upande wa kulia huku ana spidi na uwezo wa kudribble na ndie aliekuwa anasababisha matatizo yote so far mpaka Squillaci kupata red card, tukimdhibiti huyu dogo hawa jamaa hawana majibu
 
<font face="Book Antiqua"><font size="3"><font color="darkred">...team nzima haina uhai, hopefully kipindi cha pili Fabregas na Wacott wataingia kama kawaida.</font></font></font><br />
<br />
<font face="Book Antiqua"><font size="3"><font color="darkred">Scuillaci Red Carded!</font></font></font>
<br />
<br />
Huwa nashangaa sana mkuu yani hata vitimu vidogo vidogo wenger akiamua kurotate kidogo kundi linalokuja linashindwa ku-perform kabisa.
 
...ni noma tupu.
Huyu Scuillaci hana tofauti na kina Senderos, au Cygan.
Arsene Wenger amebakiza masaa machache kusajili CB wa maana kabla ya 31st Janauary.

Half Time.

He already said that kama ataona opportunity then ataitumia ila so far ana enough cover for that position ambayo yeye anasema kuna come back ya SQUILACI and VERMINATOR ambae may be by the end of FEB atakua Match fit...Ila huyu SQI ni mbovu kupita kiasi....its another crap AW has brought inn......Haya Tena NASRI kaumia that means atamchezesha ARSHAVIN ambaye anatafuta his lost form...Kupona kwa DIABY kwangu naona kama MSIBA kwa timu koz AW atampanga na ataendelea kufanya Madudu...So far kafanya tackle moja tu ambayo naona ndo his best play ila bado yupo SLOW, MVIVU wa kukaba hata mipira aliyopoteza yeye mwenyewe...Golie sijui ndo anasaka fitness au vp??? ila hana ile form aliyokuwa nayo.....
 
...hii sasa ni noma,#

Arsenal 1 - 1 Huddersfield Town!
 
First there was a brilliant defensive play from Arshavin.....Then now ni Kipa Manuel almunia....its a nice save from that header....hawa jamaa wana watu warefu sana pale mbele...nadhani kama wakiscore then kuna great possibility wakascore kwa kichwa.......
 
Wakuu naona server yangu ina kwiki jamaa wamerudisha bao na wanatushambulia sana tu sijui kama hatutopoteza hii mechi

Wenger asifanye utoto asajili new CB ila siku yenyewe imebaki 1, hatuna CB ya kucover naona hata leo benchi hatuna beki kabisa, Song ameingia katoka Chamakh hii inaonekana ni kuongeza difensi na kupunguza mashambulizi lakini bado tunashambuliwa, tunacheza one upfront sasa lone striker
Maji ya shingo Diaby nje ameingia Fabregas, tunahitaji leader, hii inadhihirisha kwamba hatuwezi ku-rotate timu
 
...hii sasa ni noma,#

Arsenal 1 - 1 Huddersfield Town!

I have some delay on this Stream....Duuh....I knew...that is a superb header......kama hatutakua careful hawa jamaa watatuongeza......
 
Was that Bigs Handball a PENALTY????????

Yeah, that Gibbs' handball was a decent penalty shout....hata goli lenu Chamakh alishika mpira kabla hajatoa pasi kwa Bendtner. Ndio mpira huo, maamuzi sometimes yanakwenda upande wako sometimes upande wa mwenzio.
 
...am not that superstitious, lakini Arsenal Team ikiwachezesha Diaby, Rosicky, Arshavin na Almunia, ...team inarudi kinyume nyume.

Kuna kila dalili ya matokeo mabaya mechi hii...
:sick:
 
Hii sub can do us Better...koz kulikua hakuna mtu wa kupeleka mipira mbele...FAB can do us better......Hawa jamaa hili goli limewapa comfo sana.....nisingependa reply kwa game kama hii....ukichukulia kuwa tuna game nyingi, za msingi na ngumu katika mwezi FEB..
 
Habari zenu binafsi Arsene Wenger Jr,Quest na wapenzi wengine wa Arsenal????

Msijali bwana,its gonna be ok, dada kasema hivyo.......lol
 
Denilson Out? Hamstring?
Arsenal can't even sub...ooooohhhh!
 
Hii sub can do us Better...koz kulikua hakuna mtu wa kupeleka mipira mbele...FAB can do us better......Hawa jamaa hili goli limewapa comfo sana.....nisingependa reply kwa game kama hii....ukichukulia kuwa tuna game nyingi, za msingi na ngumu katika mwezi FEB..
mkuu kuna hatari tukawa out leo wacha replay, haya denilson nae anaonekana kama nae hamstring inapiga hodi ingawa amerudi uwanjani na tumemaliza subs kwa hio tunacheza 9 na nusu sasa.
 
Back
Top Bottom