Arsenal (The Gunners) | Special Thread


hapa umeandika EMOTIONS TUPU

hakuna uhalisia kabisa kaka......pole sana, ceballos kaingia liverpool wamechoka hawa press kama dakika 70 za mchezo

mpira uangalie kwa uhalisia sio kuhemkwa na hisia ulizoandika hapo
 
Nimewaza sana sema nimeamua kukaa kimya. Torreira anakichafua sana sielewi nini kinatokea. Hii game hata angeanza Torreira na mmoja kati ya Elneny/xhaka nakuhakikishia Pale kati kingechafuka

Torreira angefanya maajabu gani asee ama mpira tunatizama tofauti?
 
kweli umeumia ndugu yangu hadi Elneny na Luiz umewaon viazi. pole sana mkuu
 
Ile ya diogo jota ikanikumbusha ya kai havertz na goli la tatu la chelsea
 
Umeongea ukweli kwa kiasi kikubwa, tatizo mashabiki wengi wanadhani ubingwa ni jambo jepesi tu, yaani wenzio wamejipanga kwa misimu kadhaa na wana invest kwenye vikosi we uje from nowhere kisa tu unafundishwa na Arteta?!

Ukiwaambia watu watakupa mfano wa Leicester, ile timu ilikuwa na consistence week in week out, tatizo tu ni kuwa haikuwa favourite kwa watu almost wote ila in terms of perfomance walistahili ubingwa.

Tukubali Liver kwa sasa sio level yetu japo tukikutana naye tutapambana kwa kadri ya uwezo wetu kama ambavyo tumewahi kuwasimamisha na ubora wao.

Arsenal is still a work in progress, given time and funds things will be okay. Kutarajia makubwa kwa sasa ni kujiumiza kama washabiki, wakitu surprise no problem tunafurahi ila wakiharibu tusipoteane.
 
Yah sikucheki game ila ile elbow ya Mane ilikuwa ni intensional aisee, alistahili red card. Hizo nyingine sikuziona kwenye highlights.

 
Yah sikucheki game ila ile elbow ya Mane ilikuwa ni intensional aisee, alistahili red card. Hizo nyingine sikuziona kwenye highlights.
Lengo lake kumpa elbow ya mwili lkn sio ya. USO ile imetokea bahati mbaya maana alikuwa anaconcentrate na mpira
 
Lengo lake kumpa elbow ya mwili lkn sio ya. USO ile imetokea bahati mbaya maana alikuwa anaconcentrate na mpira
Kwa kuzingatia discipline yake mazingira yale yanaweza kumpa benefit of doubt kwa kuwa si mtu wa rafu kwenye game.
 

Husisahau kuwa alhamisi mnakutana na Liver tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…