Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nadhani kama ni kweli tutakuwa tunamuachia kwa bei ndogo mno. 30m euro si kama pounds 25 sijui 27?. Kina Wan Bissaka na Maguire si walikuwa ghali zaidi. Naona kuna tatizo la kwenye evaluation ya baadhi ya wachezaji na finance department yetu. Vinai hayuko poa 😀. Ingawa Covid-19 imeleta mambo yake ila Bellerin siyo wa 25m pounds.
Kwa kiwango chake cha sasa, hii bei ni fair enough!
 
Saka utafananisha na yule bishoo odoi ana goli 1 la EPL toka aanze kucheza Chelsea

Saka miaka 18 ana potential kubwa kuliko huyo Odoi,

Mnajuta bora mngemuuza Bayern hata kwa £5m
Hahahaha uzeni mapema uyo dgo ..halafu Odoi ni majeruhi unadhani angekuja apo arsenal angekosa namba

Mimi na uhakika mchezaji atakayekosa namba apo arsenal labda ni Ampadu tu ..tena kwa mbali

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Yeah...na kwa nini auzwa wakati tunajenga timu? Nani atacheza beki 2?
 
Nadhani kama ni kweli tutakuwa tunamuachia kwa bei ndogo mno. 30m euro si kama pounds 25 sijui 27?. Kina Wan Bissaka na Maguire si walikuwa ghali zaidi. Naona kuna tatizo la kwenye evaluation ya baadhi ya wachezaji na finance department yetu. Vinai hayuko poa 😀. Ingawa Covid-19 imeleta mambo yake ila Bellerin siyo wa 25m pounds.
Mkataba wake umebaki miaka miwili

Mwaka Jana alikuwa anauzwa £50m
 
Arsenal plan to welcome up to 15,000 supporters back to the Emirates for Premier League clash against Sheffield United on October 3. [@AdrianJKajumba]
 
Arsenal are in talks over a potential deal to sign Lyon star Houssem Aouar as Mikel Arteta looks to pull-off a double midfield swoop also involving Dani Ceballos, according to The Athletic.
 
Francis Cagigao:

"The club has a very good head coach & are not far from building a winning team, a lot of good groundwork has been laid. Wherever the future takes me, I will never forget my time at the club & feel privileged to have played my part" #Arsenal
 
Arsenal are in talks over a potential deal to sign Lyon star Houssem Aouar as Mikel Arteta looks to pull-off a double midfield swoop also involving Dani Ceballos, according to The Athletic.
Possibilty ya Partey inakuwa ndogo
 
1599113082218.jpg
 
Jitahidi uwe serious wakati mwingine.

Tangu ligi ianze upya rank yamakipa kwa idadi ya saves wa kwanza ni Martinez anakuja Becker kisha Leno.

Kepa hayupo hata kumi bora.

Kama ana ubora unaoudai hapa Andre onana wa kazi gani? Yule kipa wa Coppenhagen wa kazi gani?
Kepa ni wa 22 anazidiwa had na makipa wa reserve
 
Back
Top Bottom