Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah ushindi unawapa kiburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa aisee, tungefungwa muda huu wote mngehama jukwaa lenu na kuhamia huku, anyway karibuni... Just a reminder
[emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1596699943391.jpeg
 
Kepa?? Kwa mkopo?? Apo Arse8 kuna kipa wa kumkata namba.?
Jitahidi uwe serious wakati mwingine.

Tangu ligi ianze upya rank yamakipa kwa idadi ya saves wa kwanza ni Martinez anakuja Becker kisha Leno.

Kepa hayupo hata kumi bora.

Kama ana ubora unaoudai hapa Andre onana wa kazi gani? Yule kipa wa Coppenhagen wa kazi gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom