Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Done deal! Dani #Ceballos landed in London. He is expected to sign his new #Arsenal’s contract today. The spanish midfielder comes-back from #RealMadrid on loan fee, but #Gunners cover full salary this time. #transfers #AFC
 
Saka utafananisha na yule bishoo odoi ana goli 1 la EPL toka aanze kucheza Chelsea

Saka miaka 18 ana potential kubwa kuliko huyo Odoi,

Mnajuta bora mngemuuza Bayern hata kwa £5m
Mkuu Aaron unakosea mno kwenye maandishi yako tukiwakosoa mnaanza kulialia. Ulichoandika hakina mantiki kwa sababu Odoi kamzidi mbali sana Saka pamoja nakuwa Odoi ana uchache wa games.

Be realistic mwanangu
 
Tusiwe na matumaini juu ya UCL baada ya miaka 3 kama Arteta alivyosema. Alijiunga Man City 2016 alikaa pale kama kocha msaidizi na tunajua City maisha yake UCL yapoje. All the while City ikiwa inamwaga pesa kwa yeyote waliyemtaka so ilikua na quality players ambao Arteta anasema Arsenal tunakosa.

Ni ukweli hatuna quality players tukiwa nao baada ya miaka 2 tutarajie UCL? Hapana, unakutana na timu kama Atalanta au Lyon au Leipzig kisha unagundua quality siyo kila kitu. Timu inahitaji spirit, commitment na winning mentality.

Kwenye Ngao ya Hisani Arteta anasema "Tukiwa vyumba vya kubadilishia nguo niliona timu nzima ikiwa na ari ya ushindi, waliamini wanaweza kushinda" hiyo ndiyo mentality inayotakiwa. Arsenal tulikutana na Liva na unaona kabisa Liva walikua bully, wakatuua 3. Winning mentality shattered fighting spirit gone.

Niliwahi sema Diego Simeon ni kocha tunayemhitaji kwakua ana uwezo wa kuifanya timu ikacheza jihad, huu uwezo alikua nao Redknap wa Totenham pia, same na Pochetino na Emery.

Timu iliyo na quality players hua na overconfidence siyo winning mentality ila timu kama Atalanta, Lyon au Leipzig wao huwa na winning mentality na ndiyo tunayoihitaji saa hii.

Akipata quality players akakosa winning mentality tutaona itakavyokua.
 
Done deal! Dani #Ceballos landed in London. He is expected to sign his new #Arsenal’s contract today. The spanish midfielder comes-back from #RealMadrid on loan fee, but #Gunners cover full salary this time. #transfers #AFC
Hajakaa karantini?
 
On this day in 2011, Mikel Arteta & Per Mertesacker joined Arsenal.⁠

Who would've thought that just 9 years later,

Arteta would be our manager and Mertesacker would be the Academy manager?
aftvmedia-20200903-0001.jpg
 
Mkuu Aaron unakosea mno kwenye maandishi yako tukiwakosoa mnaanza kulialia. Ulichoandika hakina mantiki kwa sababu Odoi kamzidi mbali sana Saka pamoja nakuwa Odoi ana uchache wa games.

Be realistic mwanangu
Sijatumia lugha mbovu hapo ndugu, angalia vzr,

Kisport Odoi anapitia njia zile zile za waingereza wengine wanaokuja juu na kupotea ,kama lingard ,walcoth , dele Ali ,

Ndio maana hapo nimesema kwa Odoi alivyokuja toka ile game ya kirafiki akamsumbua sana bellerin , na matarajio mliyoyaweka na kumpa mshahara mkubwa ,nadhan ndio amefikia hapo ,kama nafas anapata sana tu,

Saka miaka 18 ameonesha potential kuliko odoi labda ulete ushabiki tu, Mbona mason Mount ni mzuri hatusemi ,

Saka alicheza kama beki, Odoi akiwa winger alishindwa kumfanyia take ons hata 1 ,
 
Tusiwe na matumaini juu ya UCL baada ya miaka 3 kama Arteta alivyosema. Alijiunga Man City 2016 alikaa pale kama kocha msaidizi na tunajua City maisha yake UCL yapoje. All the while City ikiwa inamwaga pesa kwa yeyote waliyemtaka so ilikua na quality players ambao Arteta anasema Arsenal tunakosa.

Ni ukweli hatuna quality players tukiwa nao baada ya miaka 2 tutarajie UCL? Hapana, unakutana na timu kama Atalanta au Lyon au Leipzig kisha unagundua quality siyo kila kitu. Timu inahitaji spirit, commitment na winning mentality.

Kwenye Ngao ya Hisani Arteta anasema "Tukiwa vyumba vya kubadilishia nguo niliona timu nzima ikiwa na ari ya ushindi, waliamini wanaweza kushinda" hiyo ndiyo mentality inayotakiwa. Arsenal tulikutana na Liva na unaona kabisa Liva walikua bully, wakatuua 3. Winning mentality shattered fighting spirit gone.

Niliwahi sema Diego Simeon ni kocha tunayemhitaji kwakua ana uwezo wa kuifanya timu ikacheza jihad, huu uwezo alikua nao Redknap wa Totenham pia, same na Pochetino na Emery.

Timu iliyo na quality players hua na overconfidence siyo winning mentality ila timu kama Atalanta, Lyon au Leipzig wao huwa na winning mentality na ndiyo tunayoihitaji saa hii.

Akipata quality players akakosa winning mentality tutaona itakavyokua.
Nimependa hii ila umekosea kidogo hapo kwa Unai Emery
 
Mkuu Aaron unakosea mno kwenye maandishi yako tukiwakosoa mnaanza kulialia. Ulichoandika hakina mantiki kwa sababu Odoi kamzidi mbali sana Saka pamoja nakuwa Odoi ana uchache wa games.

Be realistic mwanangu
Kila mtu na maono yake, usilazimishe mtu afanane fikra na wewe, odoi kamzidi nini Saka? Jibu kwa current statistics... Usifananishe Saka na upuuzi[https://tracking][https://tracking][https://tracking]

The 10 teenagers with the most goals & assists in 2019-20: Greenwood, Saka…

QUICK READS

[https://d3nfwcxd527z59]

Planet Football

14th July 2020

While experience can be invaluable on a football pitch, there’s nothing quite like seeing a young player burst onto the scene.

Manchester United and Arsenal currently have some of the best teenagers in the world on their books and they’ve made an immediate impact in the first team.

We’ve looked at the 10 teenagers from Europe’s top five leagues who’ve scored the most goals in all competitions this season.

10. Yacine Adli

Adli came through the academy at PSG, but made just one senior appearance for the club before joining fellow Ligue 1 side Bordeaux in 2019.

The 19-year-old became the first player born in the 2000s to score a brace in Ligue 1 and has three goals and three assists in all competitions this season.

9. Callum Hudson-Odoi

Hudson-Odoi suffered a ruptured achilles in April 2019 and struggled to recapture his best form immediately after his return.

ADVERTISEMENT

But the Chelsea winger has still provided three goals and five assists in all competitions this season and scored his first Premier League goal against Burnley in January.

8. Ansu Fati

Barcelona are renowned for producing excellent youth products in their academy and Fati is the latest talent from their conveyor belt.

The 17-year-old has enjoyed a remarkable breakthrough season, registering seven goals and an assist in 30 appearances in all competitions.

[https://d3nfwcxd527z59]

READ: 11 records that Ansu Fati has broken in his incredible debut season at Barca

7. Takefusa Kubo

Kubo joined Real Madrid in 2019 and immediately joined RCD Mallorca on loan in search of regular first-team football.

ADVERTISEMENT

Madrid will be delighted with his progress as the 19-year-old has scored four goals and provided five assists in La Liga this season.

6. Rodrygo

Real Madrid agreed to pay £40.2million for Rodrygo in 2018, but the Brazil international remained at Santos for the 2018-19 season.

The winger became the second-youngest player to score a hat-trick in the Champions League after a brilliant performance against Galatasaray in November 2019.

He has also featured for their Castilla side in the third tier, but has still registered seven goals and two assists for the first team in his debut season.

5. Alphonso Davies

Despite being a natural winger, Davies has established himself as Bayern Munich’s first choice left-back this season

The 19-year-old was named the Bundesliga’s 2019-20 Rookie of the Season and has recorded three goals and eight assists in all competitions.

[https://s] Alphonso Davies at Stamford Bridge [https://s]#CanadaDay | @AlphonsoDaviespic.twitter.com/tnaYJJbeNB

— UEFA Champions League (@ChampionsLeague) July 1, 2020

4. Gabriel Martinelli

Arsenal signed Martinelli from Brazilian club Ituano for just £6million in 2019 and the 19-year-old has been a revelation in north London.

ADVERTISEMENT

The striker scored 10 goals and provided four assists in 26 appearances in all competitions this season, becoming the first teenager to score 10 goals in a season for the Gunners since Nicolas Anelka in 1998-99.

3. Bukayo Saka

Saka is the second Arsenal player to feature on this list and the 18-year-old has been a stand-out player for the Gunners this season.

The versatile forward was recently rewarded with a new long-term contract after registering four goals and 11 assists in all competitions in 2019-20.

If Bukayo Saka didn't shout "MEGS" after doing this, he's a better man than any of us [https://s]

[https://s] Arsenal pic.twitter.com/3SZiSxAFaH

— OneFootball (@OneFootball) February 17, 2020

2. Erling Haaland

Even though he only signed for Borussia Dortmund in January, Haaland still finds himself near the top of this list.

The 19-year-old has had an incredible start to his career in Germany, registering 16 goals and three assists in his first 18 appearances for the Bundesliga side.

We should also mention that he got a remarkable 24 goals and seven assists in the first half of the season at Red Bull Salzburg.

1. Mason Greenwood

Greenwood is widely regarded as one of the best young players to come out of Manchester United’s famous youth academy and it’s not hard to see why.

The 18-year-old has enjoyed a remarkable breakthrough season for Ole Gunnar Solskjaer’s side, scoring 16 goals and making five assists in all competitions.

More Planet Football
 
Emery huyu huyu ?au umekosea ?
 
Jamaa bora angemtaja Dogo Mason Mount ,au Ruben loftus cheek

Odoi huyu si anapita njia za kina lingard na kina dele alli
 
Confirmed: Granit Xhaka has been officially named as Switzerland captain, following the retirement of Stephan Lichtsteiner.

Congratulations Granit, we’re so proud of you!
IMG_20200903_122430.jpg
 
Kama ulivyosema hapo mwanzo kila mtu na maono yake.

Uko sawa mkuu
 
Mkuu Aaron unakosea mno kwenye maandishi yako tukiwakosoa mnaanza kulialia. Ulichoandika hakina mantiki kwa sababu Odoi kamzidi mbali sana Saka pamoja nakuwa Odoi ana uchache wa games.

Be realistic mwanangu
Katika orodha ya teenagers wenye most goals na assissts Saka ni wa 3 na Odoi ni wa 9.
 
Nimependa hii ila umekosea kidogo hapo kwa Unai Emery
Emery ni kocha.

Hii formation tunayotumia yeye ndiye muasisi kwa timu yetu kuitumia.

Tulikua short on players na akaresort kwenye formation ambayo Ozil akasema timu yetu inakaba mno. Kuna watu wakasapoti maoni ya Ozil mi niliyapinga na nilitoa sababu.

Alimvumbua Rabiot na alikua njiani kumvumbua Guendouz.

He is good.
 
Jamaa bora angemtaja Dogo Mason Mount ,au Ruben loftus cheek

Odoi huyu si anapita njia za kina lingard na kina dele alli
Hapa tunaongelea teenagers dogo. Halafu Odoi usimfananishe na huyu ndugu yenu Lingard kabisa kwa sababu sikumbuki kama Lingard alishakua na form aliyonayo Odoi kwa sasa.
 
Kila mtu na maono yake, usilazimishe mtu afanane fikra na wewe, odoi kamzidi nini Saka? Jibu kwa current statistics... Usifananishe Saka na upuuzi[https://tracking][https://tracking][https://tracking]

The 10 teenagers with the most goals & assists in 2019-20: Greenwood, Saka…

QUICK READS

[https://d3nfwcxd527z59]

Planet Football

14th July 2020

While experience can be invaluable on a football pitch, there’s nothing quite like seeing a young player burst onto the scene.

Manchester United and Arsenal currently have some of the best teenagers in the world on their books and they’ve made an immediate impact in the first team.

We’ve looked at the 10 teenagers from Europe’s top five leagues who’ve scored the most goals in all competitions this season.

10. Yacine Adli

Adli came through the academy at PSG, but made just one senior appearance for the club before joining fellow Ligue 1 side Bordeaux in 2019.

The 19-year-old became the first player born in the 2000s to score a brace in Ligue 1 and has three goals and three assists in all competitions this season.

9. Callum Hudson-Odoi

Hudson-Odoi suffered a ruptured achilles in April 2019 and struggled to recapture his best form immediately after his return.

ADVERTISEMENT

But the Chelsea winger has still provided three goals and five assists in all competitions this season and scored his first Premier League goal against Burnley in January.

8. Ansu Fati

Barcelona are renowned for producing excellent youth products in their academy and Fati is the latest talent from their conveyor belt.

The 17-year-old has enjoyed a remarkable breakthrough season, registering seven goals and an assist in 30 appearances in all competitions.

[https://d3nfwcxd527z59]

READ: 11 records that Ansu Fati has broken in his incredible debut season at Barca

7. Takefusa Kubo

Kubo joined Real Madrid in 2019 and immediately joined RCD Mallorca on loan in search of regular first-team football.

ADVERTISEMENT

Madrid will be delighted with his progress as the 19-year-old has scored four goals and provided five assists in La Liga this season.

6. Rodrygo

Real Madrid agreed to pay £40.2million for Rodrygo in 2018, but the Brazil international remained at Santos for the 2018-19 season.

The winger became the second-youngest player to score a hat-trick in the Champions League after a brilliant performance against Galatasaray in November 2019.

He has also featured for their Castilla side in the third tier, but has still registered seven goals and two assists for the first team in his debut season.

5. Alphonso Davies

Despite being a natural winger, Davies has established himself as Bayern Munich’s first choice left-back this season

The 19-year-old was named the Bundesliga’s 2019-20 Rookie of the Season and has recorded three goals and eight assists in all competitions.

[https://s] Alphonso Davies at Stamford Bridge [https://s]#CanadaDay | @AlphonsoDaviespic.twitter.com/tnaYJJbeNB

— UEFA Champions League (@ChampionsLeague) July 1, 2020

4. Gabriel Martinelli

Arsenal signed Martinelli from Brazilian club Ituano for just £6million in 2019 and the 19-year-old has been a revelation in north London.

ADVERTISEMENT

The striker scored 10 goals and provided four assists in 26 appearances in all competitions this season, becoming the first teenager to score 10 goals in a season for the Gunners since Nicolas Anelka in 1998-99.

3. Bukayo Saka

Saka is the second Arsenal player to feature on this list and the 18-year-old has been a stand-out player for the Gunners this season.

The versatile forward was recently rewarded with a new long-term contract after registering four goals and 11 assists in all competitions in 2019-20.

If Bukayo Saka didn't shout "MEGS" after doing this, he's a better man than any of us [https://s]

[https://s] Arsenal pic.twitter.com/3SZiSxAFaH

— OneFootball (@OneFootball) February 17, 2020

2. Erling Haaland

Even though he only signed for Borussia Dortmund in January, Haaland still finds himself near the top of this list.

The 19-year-old has had an incredible start to his career in Germany, registering 16 goals and three assists in his first 18 appearances for the Bundesliga side.

We should also mention that he got a remarkable 24 goals and seven assists in the first half of the season at Red Bull Salzburg.

1. Mason Greenwood

Greenwood is widely regarded as one of the best young players to come out of Manchester United’s famous youth academy and it’s not hard to see why.

The 18-year-old has enjoyed a remarkable breakthrough season for Ole Gunnar Solskjaer’s side, scoring 16 goals and making five assists in all competitions.

More Planet Football
Lakini mwanzo hamkusema kama ni kwa msimu huu tu sasa ivi umeleta za msimu huu. Ujanja ujanja
 
Katika orodha ya teenagers wenye most goals na assissts Saka ni wa 3 na Odoi ni wa 9.
Jamaa walivyomuelezea hapo ni kama wanamuongelea mchezaji ambaye ni hopeless kabisa lakini kiuhalisia ametoka majeruhi kapambana mpaka kufika hapo.

Anyways ni maono yao
 
Kama majeruhi hata Loftus cheek ni majeruhi kuliko odoi, ila still Unaweza kumuwekea dhamana cheek na sio odoi .

Ngoja tuone msimu huu, Pale best teanegers ni Mount ,Gilmour ,Cheek , ila odoi anapita mule mule wanapopita kina Lingard
 
Emery ni kocha.

Hii formation tunayotumia yeye ndiye muasisi kwa timu yetu kuitumia.

Tulikua short on players na akaresort kwenye formation ambayo Ozil akasema timu yetu inakaba mno. Kuna watu wakasapoti maoni ya Ozil mi niliyapinga na nilitoa sababu.

Alimvumbua Rabiot na alikua njiani kumvumbua Guendouz.

He is good.
Mfumo wa 3-4-3 kauasisi hapo Arsenal ni Wenger , akimpiga Conte , na City nusu final ,aliutumia sana

Emery , huyu katumia mfumo ya kila aina hapo Arsenal , na hakuwa na structure yoyote ya kuwasaidia wachezaji

Hivi unakumbuka hata kufanya buildup Timu ilikuwa haiwezi, had Leno ikabidi awe anapiga mpira mbele
 
Back
Top Bottom