Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Mkuu, usipoteze nguvu zako kwa huyoKusema tunajazwa ujinga na sisi tunajaa ni kadharau comedy fulani hivi.
Anyway, kuna timu kama Leicester zimefika na kufikia kuchukua ligi. Lakini baada ya hapo nini kimekua?
Kuna timu ilichukue UEFA huku inashuka daraja.
Kipimo chako cha userious wa kuchukua UCL iwe ni kuchukua ligi hakipo sahihi kama unavyotaka.



| #AFC
