Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
@ModeratorWazee mods hawajaedit idadi ya community shields na mwaka. Niliwatag hii ni siku ya nne naona kimya.
@ModeratorWazee mods hawajaedit idadi ya community shields na mwaka. Niliwatag hii ni siku ya nne naona kimya.
Hahahaha sasa mkiambiwa ukweli arsenal ni timu mchele mchele amtaki?Mods piga ban ya maisha mtu huyu anaharibu uzi.





Hahahahahaha huu sasa uchokozi, hadi michoro wanayoView attachment 1556297
GayGooners fc





Moto gani mnaweza leta nyieTukiwaletea moto mnalialia








Sasa mashabiki wa Arse8 ndo wana mind ..mbona sisi tuko fresh tu ..waambie wasije kwenye uzi wetu na wakija waje kistaarabu, mbona sisi tunakuja kistaarabu kabisa.Madogo wanashida sana. Ollachuga waelekeze wadogo zako bana. Hii mambo wanayofanya sio poa. Na Gooners wenzangu, hawa mashabiki maandazi wakupotezea tu.



Hahahahaha acha utani wewe mimi ndo kaka pale jukwaa la Chelsea ivyo malalamiko yote lazima nipewe mimi.Ollachuga ana miaka 24 hata mimi nimempita umri.
Hahaha mimi ndo kaka kule jukwaa letu mkuu.Ollachuga amezaliwa 2001 sasa hiyo 24 labda iwe ya kuchora
Nyie ndo mmeanza baada kubeba FA na CS.Wanaleta ujinga humu, wanadhani wapo salama, tunaweza kuvamia thread yao had waikimbie
Wanashindwa kuwa wastaarabu kama mashabiki wa Liverpool


Uyo Saka uzeni mtakuja kujuta...Mimi ninaenjoy sana mpira wa Bukayo Saka, miguu yake imechangamka sana ila shida yake anachoka mapema




Saka utafananisha na yule bishoo odoi ana goli 1 la EPL toka aanze kucheza Chelsea


Seriously nimekupita umri kwa hapo ulipo kwenye 24. Siyo sana ila nimekupita.Hahahahaha acha utani wewe mimi ndo kaka pale jukwaa la Chelsea ivyo malalamiko yote lazima nipewe mimi.
Naona mambo yamekuwa makubwa adi kutukanana ni ushabiki tu mazee, tusifike mbali jamani..
NAOMBA SASA MAMBO YAISHE WAKUU.
ARSENAL, CHELSEA..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app


kakosea kuchagua team ya kushabikia. Kwa umri wake angechagua Arsenal angekula mema ya nchi sana.
Yeye ana utani flani hivi unaeleweka, sio huu wa kuporomosha mitusi namna hii. Ila naye bado bata sana, 24!?![]()
PSG wanakaribia kumnunua Bellerin kwa £30m
Zaidi soma hapa
Mercato - PSG : Leonardo proche de boucler un transfert à 30M€ !