Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Jamaa Ebu jiheshimu humu kuna watu wa Rika Tofauti TofautiBelerini punga
Ozil punga
Kocha wenu naye punga!
acheni haya mambo ya KITOTO
Jamaa Ebu jiheshimu humu kuna watu wa Rika Tofauti TofautiBelerini punga
Ozil punga
Kocha wenu naye punga!
Unai Emery’s Villarreal are planning a move for Emi Martinez if #AFC tell the goalkeeper he will not be first choice. Martinez wants to stay — but only if he starts the campaign as Arteta’s No 1. Brentford currently refusing to negotiate over David Raya
Arsenal goalkeeper Emiliano Martinez wanted by former boss Unai Emery at Villarreal
Not todayHuu uzi mtauharibu kwa mambo ya hovyo na ajabu.
Kwani mkipuuza na msiposhindana kwa mambo ya hovyo mtapungukiwa nini? Na mtaongezeka nini? Burudani ni Amani na si kudharirishana na kushushana. Grow up Niggers..
Pamoja blood , ila hawa London babies wanakera sana ,Huu uzi mtauharibu kwa mambo ya hovyo na ajabu.
Kwani mkipuuza na msiposhindana kwa mambo ya hovyo mtapungukiwa nini? Na mtaongezeka nini? Burudani ni Amani na si kudharirishana na kushushana. Grow up Niggers..
Nadhan mkataba wake ni wa miaka miwili uliobakiaKwani Emi tunamkataba naye hadi lini? Siyo ishu ya kumwambia tu haendi popote na kumuongezea mshahara? I'm sure anataka namba Argentina ila Leno anataka namba Germany pia so sisi tubaki na makipa wawili top drawer. Imetusaidia sana tulipompoteza Leno kwa injury tukawa na Emi.
Tukiwaletea moto mnalialiaArsenyeto
Unaijua njaa wewe CheltakoView attachment 1556062
Sasa hivi wekeni kwanza habari za belerini hadi apate mteja halafu ndio mtumie hiyo 30 kuleta wachezaji.
Timu lina njaa kama Yanga bhana!
Arsenyeto!
Nadhan mkataba wake ni wa miaka miwili uliobakia
Arsenal are planning to allow fans back into the Emirates Stadium for the Premier League game in October.
sidhani kama mtu mzima anaweza andika Ujinga wanaopost hapaMadogo wanashida sana. Ollachuga waelekeze wadogo zako bana. Hii mambo wanayofanya sio poa. Na Gooners wenzangu, hawa mashabiki maandazi wakupotezea tu.
Ollachuga ana miaka 24 hata mimi nimempita umri.Madogo wanashida sana. Ollachuga waelekeze wadogo zako bana. Hii mambo wanayofanya sio poa. Na Gooners wenzangu, hawa mashabiki maandazi wakupotezea tu.