Uko sahihi Kepa ni bora zaidi
Ukirudi #nitagBora muangalie mtanange wa Simba vs Namungo au game kali zaidi Briton vs Chelsea kuliko huu utumbo wa leo ..maana tunajua kabisa Liverpool atajipigia hizi mama atakavyo..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Word.Nadhani leo pia kapata nafasi nyingine ya kumlinganisha na Keppa.
Awe na adabu tunapozungumzia makipa wa dunia kwa sasa huwezi kumuacha Martinez na ni haramu kujaribu kumuhusisha keppa kwenye list ya makipa namba tatu wa dunia
Ukirudi #nitag
Mkuu huu uandishi haukubaliki huku bwana..Elnemy labd habadlik uchezj lkin km akichez vle gme 2napotez
Word.
Kuna mijitu mingine wako hapa kuharibu point za Mashabiki wa Arsenal. ...Kwamba unaweza kweli ukawa shabiki wa mpira uka undermine uwezo wa Martinez. Hakika ni ujuha wa kupindukia...
Mkuu huu uandishi haukubaliki huku bwana..
Haya ndo makombee yenuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nachowapendeaa huwaga hamtoki kapaaaa kabisaa yani lazimaa mtabeba hata Kombe la mbuziii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimejiandaa kwa makombora mkuu.Funika kombe mwanaharamu apite yakhe kwa namna ya huo uandishi unategemea jibu gani akiona comment yako
Unajua me timu gani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuonyeshe la kwenu hata la kuku
Rejea[emoji121]Baadae hiyo, baada ya kunywa supu ya jogoo.View attachment 1551830
Nyumbu [emoji23][emoji23][emoji23]Unajua me timu gani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]