Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Compare the two. This is why liverpool are champions. Class club.
Liverpool fans wanaujua mpira,Thanks Don Clericuzio, nnacho wapendea fans wa Liver wengi ni wanamichezo hamnaga mihemko ya kiboya kama kina fulani...



Pierre-Emerick Aubameyang for Arsenal:
110 appearances
️ 71 goals Tulikuwaga na wenge sana tunapokutana na top 4 siku hizi naona hamna presha wala mushkeli kwa wachezaji wanapoface top teamsMzee nlikusahau.
Nakubaliana nawe nadhani timu imekuwa bora to be honest
Huyu jamaa sijui mpaka atupe nini ili afanyiwe back up ya kutosha kutoka kwa boardNi tactical games, kuna uwezekano mkubwa sana Arteta ni tactician mzuri, sina uhakika sana. Ila matokeo yameongea.
Tusubiri ligi ianze tuone jinsi mnavyocheza vs mid na lower table, maana wao ni wazee wa kuharibu mipango na kupaki basi.


Kiukweli hata sisi mashabiki confidence imeongezeka, siku chache hapo nyuma kwa kikosi cha leo kuwakabili Liver ilikuwa atleast tunachezwa goli 3 na koswa koswa za kutosha.Huu ni mpira tu, kiukweli toka mtufunge kwenye kumalizia msimu, mkawafunga City FA and then Chelsea, leo ilibidi nisiwe na matokeo ya mfukoni.
Uyo Martinez anatakiwa na AstonVilla kwa pound Million 10 pelekeni haraka kabla ajafloap ..mtajutaNadhani leo pia kapata nafasi nyingine ya kumlinganisha na Keppa.
Awe na adabu tunapozungumzia makipa wa dunia kwa sasa huwezi kumuacha Martinez na ni haramu kujaribu kumuhusisha keppa kwenye list ya makipa namba tatu wa dunia
Yah kabisa, ukihesabu miaka ambayo Liver ilikuwa out of form na bado unamkuta mtu anaishabikia obviously ni mtu anayeujua mpira, anaheshimu hisia zake kama shabiki na anaiheshimu club yake pia.Liverpool fans wanaujua mpira,
Sio wale kina Jason Sancho na Fransisco Zola![]()
Cheki mmoja wao huyu Aaron ArsenalUyo Martinez anatakiwa na AstonVilla kwa pound Million 10 pelekeni haraka kabla ajafloap ..mtajuta
Ndugu unapataje ujasiri wa kuja huku?.Uyo Martinez anatakiwa na AstonVilla kwa pound Million 10 pelekeni haraka kabla ajafloap ..mtajuta
Uyo Martinez anatakiwa na AstonVilla kwa pound Million 10 pelekeni haraka kabla ajafloap ..mtajuta



Kwani kuna nini uku mpaka nisijeNdugu unapataje ujasiri wa kuja huku?.



Hongereni kwa ushindi mkuu.
Pamoja sana chuganianHongereni kwa ushindi mkuu.
Keppa pelekeni Norwich city kwa mkopoUyo Martinez anatakiwa na AstonVilla kwa pound Million 10 pelekeni haraka kabla ajafloap ..mtajuta
Sheria ya kuingia humu unatakiwa kutanguliza kombe lako mbele kama hivi;Kwani kuna nini uku mpaka nisije
Mbona nyie mmejazana Kule kwetu.
Nyie ni mabingwa wa kihistoria wa FA na Community ShieldSheria ya kuingia humu unatakiwa kutanguliza kombe lako mbele kama hivi;
View attachment 1552487View attachment 1552488View attachment 1552489






Huyu jamaa sijui mpaka atupe nini ili afanyiwe back up ya kutosha kutoka kwa board
Apewe hela tuvimbe mtaani![]()
Nyie ni mabingwa wa kihistoria wa FA na Community Shield![]()


