Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Gabby deal is done, next Partey na Aouar.
Arsenal ikikamilisha usajili wa hawa, wataka nini tena?
Picha ikimwonyesha mkurugenzi wa mpira wa Arsenal Edu akiwa busy kuzungumzia deals.
Picha hii imepigwa na mtoto wake Edua aitwae Luigi ambae aliiweka kwenye mtandao wa Instagram.
Akisema FOCADO akimaanisha "Focus".
COYGs!!
