Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Was just doing a little bit of digging on understat.

Here are goals conceded in the PREMIER LEAGUE by Arsenal in recent years from corners/set pieces:

2016/17: 6
2017/18: 7
2018/19: 8

2019/20: 14



Simply unacceptable. You can see why Mikel has hired that set piece coach.
 
My brother

Haimaanishi statistics za RB LEIPGZ vs PSG ndo ikawa factor ya PSG kufungwa na BEYERN,Always mpira haupo hivo,kila timu inacheza kutokana na quality ya opponent pia vilevile timu hucheza kutokana na stage ya tournament.. PSG final stage ndo Mara yao ya kwanza..so I hope watapambana

Unfortunately enough am not a gambler ila tayari buku2 tayar ushaliwa

Remember my words kwamba Neymar jr atawabeba PSG
Enhe lete story.
 
Hii gemu ya Bayern na PSG niibet kwa mtindo wa jackpot. Na ndivyo ninavyobet game za hivi.

Sijawahi kuzingua kama leo. Nimefanya predictions za ajabu ajabu niliamini PSG itamiliki mpira matokeo yake wao ndo wamesafishwa. Nikaamini Bayern atascore kuanzia goli mbili matokeo yake ni kamoja tu.
 
Aaron Arsenal ,timu yetu imeshaanza training?naona kimya kimetanda na Liverpool wao wameanza hadi friendly match wamecheza, ni kama tarehe 29 tumeisahau tunawaza usajili pekee
Hahahahaahahahahahah

Mwanangu unamuuliza aron kama yeye ndio arteta🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Angalia timu ikija ikafanya vibaya usije ukaja kuanza kumlaumu Aron hapa
 
Hahahahaahahahahahah

Mwanangu unamuuliza aron kama yeye ndio arteta

Angalia timu ikija ikafanya vibaya usije ukaja kuanza kumlaumu Aron hapa
Arteta Ameonesha anaipeleka wapi klabu

Sio yule mamluki Unai Emery , aliyetaka kuishusha klabu daraja

IMG_20200821_231304.jpg
 
Back
Top Bottom