Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Basi huangalii mpira huyo mtu.ni hatari na nusu

Ni kweli unaweza usimuone sababu kwa ARTETA toka amekuja Ceballos anacheza kama DLP(Deep lying playmaker)

Kazi iliyomnyima Toreira namba ,



DEEP LYING PLAYMAKER.
Tofauti yake na deep lying midfielder au holding midfielder ni kwamba, deep lying playmaker focus yake ya kwanza uwanjani ni kuifanya timu iende mbele zaidi. Anaweza asiwe na majukumu makubwa ya kukaba na kuzuia lakini anahakikisha anai-push timu iende mbele. Mara nyingi viungo wa aina hii wanakua na uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mbali zenye uhakika, pasi ya ‘kuhamisha uwanja’. Mfano mzuri ni kiungo mtaalamu Andrea Pirlo. Nchini Italy viungo wa aina hii hujulikana kama “Regista”. Nchini Brazil kama “meia-armador”.


Kwahiyo unatakiwa ujue Majukumu yake kwanza ,ndio utajua umuhimu wake ceballos
kabisa mzee,anarahisisha sana uchezaji wetu wa kupiga pasi kuanzia nyuma
 
At just 18 years old, Bukayo Saka has won the Europa League young player of the season & was the top assister in this years competition... what a future this man has! @BukayoSaka87!
IMG_20200823_175818.jpg
 
At just 18 years old, Bukayo Saka has won the Europa League young player of the season & was the top assister in this years competition... what a future this man has! @BukayoSaka87! View attachment 1546044

Huyu dogo Premier League hawakumzingatia. Ingawa kiukweli mimi mwenyewe bado sijamkubali sana. Namuona overrated hivi...
 
Kwa umri wake assist 10 goli 3 , akicheza LB n.k kajitahidi

Mm huwa simkubali had kesho akicheza LW au RW ,

Ni mzuri sana akicheza LB au LCM ,japo yeye anaamini ni LW material
 
We understand that Andreas Georgson @georgson82 has already left for Arsenal

#BrentfordFC

set pieces have been our biggest weakness under Arteta, so it’s very pleasing that the club are signing a set piece specialist. Brentford numbers before/after Georgson got hired are crazy.
IMG_20200823_184614.jpg
 
Fully expect PSG physio Bruno Mazziotti to be announced at Arsenal after the Champions League final too, he’s another brilliant addiction to the back room staff.
 
Mimi huwa sitaki kumuona kabisa LB 😀😀 namwona kama anawaongezea wenzake mzigo maana sioni kama ana mbio na physicality hana. Ila yuko smart katika ukabaji na kusambaza pass.Pia anapiga cross nzuri sana so kila nikimwona anataka kupiga cross huwa najua kabisa itamfikia mchezaji wetu, tofauti na Bellerin 😀😀
 
Mimi huwa sitaki kumuona kabisa LB 😀😀 namwona kama anawaongezea wenzake mzigo maana sioni kama ana mbio na physicality hana. Ila yuko smart katika ukabaji na kusambaza pass.Pia anapiga cross nzuri sana so kila nikimwona anataka kupiga cross huwa najua kabisa itamfikia mchezaji wetu, tofauti na Bellerin 😀😀
Bellerin RB, huyu ni LB material hata timu ya taifa ya vijana ndio kacheza sana hiyo nafasi

Hata assist zake hizo 10 kazipata nyingi alipocheza kama LB

Angekuwa Wenger angembakisha nafasi hiyo hiyo LB maana anaimudu vzr sana

Shida yeye anaamini anatakiwa acheze nafas za mbele ,tayari klabu imeshampa na jezi namba 7

Ila kwa Arteta atakuwa taratibu bila presha maana Bado Arteta hajamuamini kumtegemea ampe matokeo
 
#Arsenal signing Salah-Eddine Oulad M'hand (17) of the '03 generation, formerly of #Feyenoord.

Firstly, it should be noted that the Dutch club rated the player very highly, but a conflict between the player and the club prevented any potential signature.

Earlier this year, Salah seemed to be heading towards the Capital to sign for #Ajax who he had been scouted by.

However, in the end he signs for a club of another Capital - #Arsenal󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

As for the player himself: He has supreme technical quality and often outperforms his fellow players in this aspect.

His technical ability shines through at every age group he has played for whether it be for #Feyenoord or #Oranje.

He is a game-changer with great agility and balance for his tall frame (1.83m). He has great feet in tight spaces.

He can play as the 10, but can also play as a creative 8. He has even played as the deepest in the midfield at 6, in his younger days.

There is ability to turn quickly and dribble in and out of players with ease, combined with excellent vision - this makes the player press resistant in the midfield.

His passing range is broad and precise, especially when deployed as the 6.

Physically he is ready for the step to English football. Playing above his age group throughout his career will help smoothen this transition.

I am very excited to see how he develops at his new club. I hope we get to see him wear the colours of the senior #Arsenal team and #Oranje in the coming years.
IMG_20200823_190003.jpg
IMG_20200823_185949.jpg
IMG_20200823_185928.jpg
IMG_20200823_185912.jpg
 
Hatuna sababu ya mtu wa aina hiyo, tayari tunaye Willian


Nadhani wewe unamzingatia Willian kwenye direct free kicks. Hizo sijui zinahitaji mbwembwe kiasi gani za wachezaji wetu kujaribu kuchanganya ukuta wa opposition. Ila indirect free kicks na corners zinahitaji ubunifu kwa kweli
 
Gabriel to Arsenal is closed. Total agreements. The player will go through medicals on Tuesday.

RMC sport Very reliable Tier 1
 
I'm told that #AFC technical director Edu was "decisive" in convincing Gabriel Magalhães to join Arsenal. The 22-year-old also spoke with Mikel Arteta but Edu made the difference amid interest from other clubs.

Sam Dean
IMG_20200822_164826.jpg
 
Nimemtaja Bellerin kwa sababu ya crossing. Yaani naona kama Bellerin amekuwa akiharibu moves nyingi sana kwa delivery mbovu. Cross nyingi zinagonga mabeki wanaomkimbilia kummark, ila Saka anaweza kupiga kiufundi mpira umpite marker na kufika kwa strikers ndani ya box. Akiimprove hapo tutakuwa hatari kwa crosses wing zote mbili maana Tierney naye kwa crossing yupo njema. Huwa najiuliza Saka kapewaje no. 7, sijui ni anaipenda mwenyewew au ni commercial decision ya arsenal kuuza jezi maana Saka ni popular na jezi no. 7 nazo ni popular so wakaona wachanganye. Na nimesika jezi yake imefanya vizuri kwenye mauzo
 
Acha tumwahi kabla hawajamtumia maana ligi si imeanza Ufaransa. Wasijetupa beki majeruhi
 
Nimemtaja Bellerin kwa sababu ya crossing. Yaani naona kama Bellerin amekuwa akiharibu moves nyingi sana kwa delivery mbovu. Cross nyingi zinagonga mabeki wanaomkimbilia kummark, ila Saka anaweza kupiga kiufundi mpira umpite marker na kufika kwa strikers ndani ya box. Akiimprove hapo tutakuwa hatari kwa crosses wing zote mbili maana Tierney naye kwa crossing yupo njema. Huwa najiuliza Saka kapewaje no. 7, sijui ni anaipenda mwenyewew au ni commercial decision ya arsenal kuuza jezi maana Saka ni popular na jezi no. 7 nazo ni popular so wakaona wachanganye. Na nimesika jezi yake imefanya vizuri kwenye mauzo
Yah Jezi yake na Kieran ndio zinaongoza kuuza

Ikifuatiwa na ya Auba na lacazette
 
Back
Top Bottom