Gabriel LCB mkuu, tofauti na UpamecanoHivi tulishindwaje kwa Upamecao ....Maana jamaa anajua sana, nimemuona kwenye game ya Leipzig vs PSG. Sina uhakika wa huyu Gabriel Malagharous kama anamzidi Upamecao.
Upemecano ni zaidi ya Gabriel kwa mtazamo wa macho yangu na nafikiri kupata huduma yake inabidi upasuke kweli kweli sina hakika na bei yake.Hivi tulishindwaje kwa Upamecao ....Maana jamaa anajua sana, nimemuona kwenye game ya Leipzig vs PSG. Sina uhakika wa huyu Gabriel Malagharous kama anamzidi Upamecao.
Tukae humu kwanza
Nyumbu wanaliingilia kati, halafu mchezaji alishachagua Arsenal ,Dili la Gabriel linaendelea vipi wakuu? nasikia kuna Nyumbu wameingilia kati
Only a wicked player can chose Ole over ArtetaDili la Gabriel linaendelea vipi wakuu? nasikia kuna Nyumbu wameingilia kati

Nimesoma post moja inasema hiyo stori ya Man U imesemwa ili kuifanya Arsenal iongeze pesa.Nyumbu wanaliingilia kati, halafu mchezaji alishachagua Arsenal ,
Ila mawakala wake ndio wanafanya uhuni
Mawakala wake ndio wale wa Malcon wababaishaji
Kama vipi tuachane nae tuangalie beki mwingine
Itabidi iwe hivyo, maana watataka kuongeza bonus zake kwasababu tu anagombaniwa.Nyumbu wanaliingilia kati, halafu mchezaji alishachagua Arsenal ,
Ila mawakala wake ndio wanafanya uhuni
Mawakala wake ndio wale wa Malcon wababaishaji
Kama vipi tuachane nae tuangalie beki mwingine
Medical sio suala mzee, Willian alishafanyaga medical SpursNimesoma post moja inasema hiyo stori ya Man U imesemwa ili kuifanya Arsenal iongeze pesa.
Hata hivyo posts nyingi zinasema ameshafanya med. chek up
Huyu dogo anajua sana mkuu Aaron, ila timu yangu shida tupo slow, huyu sio wakujiuliza maswali mara mbili mbiliESPN: City approached Lyon about Aouar sources have told ESPN, but face competition from Arsenal, who have already held talks with Lyon's sporting director Juninho. Lyon and Arsenal are due to talk more for the player valued around €50 million.
Arsenal, Man City in battle for Aouar; Lampard wants action on Havertz
Kwakweli tukaze ,Arteta amepania kuleta matajiHuyu dogo anajua sana mkuu Aaron, ila timu yangu shida tupo slow, huyu sio wakujiuliza maswali mara mbili mbili
Chelsea
West Ham 
