Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwa taarifa zilizopo Arteta anamuhitaji Thiago alcantara pia , Atatuma ofa ya £23m


That is history, mtauona mziki wetu msimu huuTimu yenye furaha wakat wa pre season tuu ,ngozi ikiwekwa kati tyr wanasahau sajili na kuanza kulaumu balaa
HaaaaahaaaaaaaaaTimu yenye furaha wakat wa pre season tuu ,ngozi ikiwekwa kati tyr wanasahau sajili na kuanza kulaumu balaa
Hii Vita itakopotushinda ni kwakua hatutakua UCL next season ila naiona arsenal ile ya invicible Kama jamaa ata sign kweliiiArsenal have joined the race with Liverpool to sign midfielder Thiago Alcantara from Bayern Munich. #AFC![]()
@Will jrNatamani bashara inayofuatia twende moja kwa moja Atletico kwa Thomas.
Mchezaji yupo tayari kuondoka ila inavyoonekana Atletico wanasubiri ofa nzuri wamuachie.@Will jr
Ivi tatizo lipo kwa atheltico Madrid au partey? Maana week ya nne hii
Dah!! Aisee na jamaa kwakua washaona tunamtaka basi watataka mzigo mrefuMchezaji yupo tayari kuondoka ila inavyoonekana Atletico wanasubiri ofa nzuri wamuachie.