Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leno ushamnyang'anya namba


Mimi napenda mbele waanze PEPE AUBA WILLIAN

Hapa utapata pace ya uhakika ,

Nyuma yao wawekee Coutinho , xhaka na Partey

Kazi imeisha
Kwa kikosi hiko means iwe 4 2 1 3 attacking. Partey na Xhaka ni DMF Coutinho anasogea mbele kama AMF. Swali: Coutinho ana akili hiyo kwa kipindi hichi? Ozil imemshinda hii.
 
Offer ya Arsenal si nzuri sana kuliko ya Inter lakini Willian atakubali kwenda Arsenal kwa sababu ya Edu na Arteta.

Arteta anamhitaji Willian ili alete uzoefu.

kapewa contract ya miaka mitatu kama sikosei lakini its not official , ila willian hatosh tunahitaji vyuma kweli kwelii
 
kapewa contract ya miaka mitatu kama sikosei lakini its not official , ila willian hatosh tunahitaji vyuma kweli kwelii

Kama nilivyosema hapo juu Arsenal wanahitaji wachezaji watatu ili kutimiliza azma ya Arteta ya kucheza mtindo wa 4-3-3 msimu ujao

Na hao ni Willian, Coutinho na Patey.

Tukwapata hawa basi msimu ujao utanoga sana.

Hali ngumu ya hewa kifedha sasa kwa timu nyingi, inaruhusu kabisa malipo ya installments na majukumu hayo anayaweza bwana Raul Sanllehi pekee ambae ni mtaalam wa negotiations.

Aliweza kufanikisha dili za Pepe na milioni 72 hawezi kushindwa milioni 45 kwa Patey.

Sanllehi yuko busy mno kuna issue ya Ceballos bado tunamhitaji.
 
Ceballos hataki kuondoka. Specifically kasema 'Natumaini nitacheza angalau mechi 35' nafikiri anamaanisha ahakikishiwe kuanza na game time.

Hivi kweli kabisa huko Spain, Ureno, France au Italy hamna watu wa kuifanya kazi tunayoililia kwa Willian na Coutinho? James Rodriguez hayupo kwenye mipango ya Madrid si turuke naye?

Tunahitaji ST mwingine. Auba atachoka, Martnell anahitaji kukomazwa. Achukuliwe Jovic, young na anajua goli.

Sielewi kwanini timu na mashabiki wote tumestuck kwa Willian na Coutinho. Na wote tumeganda kwenye kudai CB. Mari, Saliba, Sokratis, Luiz, Holding, Chambers, Mavropanos, na kuna dogo black wote hao CB.

Na Tierney juzi kachezeshwa CB. Niles kacheza RB kipindi chote Bellerin akiwa majeruhi. Saka kacheza kama LWB na kaperform. Hii timu haikukosa mabeki, ilikosa fighting spirit na viungo.
 
Hapo katika CB's sijui wewe unawaangaliaje hao mkuu, maana ukiwa makini tu utajua kuwa

Sokratis hatoshi,

Dinno injuries zimemwandama,

Holding nae ana urafiki wa karibu na kitanda,

Chambers yupo majeruhi muda mrefu hujui atarudi vipi refer kwa Mustafi ile combo yake na holding kipindi alivyofika kutoka valencia alafu alivyoumia akarudi mpya kabisaaaaa ni mboko tu,


Saliba anakuja katika ligi mpya, mazingira mapya nae hatujui kama atawahi kuadapt,


Mari ni mzuri ila kuna game plan zinamkataa kwani hana kasi,


Luiz ni mpango wa muda mfupi

Kuongeza beki hakuepukiki,

Hapo kuna wa kutolewa kwa mkopo na wa kuuza kabisa.

Mtu kama Saed huyu si wa kumtegemea sana, amekuwa mchomeshaji sana mpaka nimemmis Nacho,
Saka hana quality ya LB inayohitajika Arsenal, tulimbwela kwa Kurzawa yule angetusaidia sana,

AMN kucheza RB hapana akipangwa huyu mtu unacheck mpira roho juu muda wote, na ndio maana Cedric akanunuliwa ili kusaidiana na Hector,

Kuhusu Willian na Coutinho nafikiri ni jibu rahisi tu, hawa japo umri umeenda ila wana quality na experience katika EPL ukicompare na watu kama James,
Ukizingatia Arteta sasa hivi anajenga timu, lakini sio unajenga timu kwa vipigo daily, lazma wawepo watu wa kuifanya timu isonge huku inasukwa kupitia hawa vijana kina saka na martinelli lazma wawepo watu waliokomaa kuwapa motisha.
 
#AFC hopeful of getting a Willian deal over the line. I'm told a big part of the Brazilian's appeal to Arteta is his experience. Arsenal's squad is full of young players and they want to address the age balance. The Mari and Cedric signings are part of that, too.

Telegraph
 
Na ukituskiliza Sisi wa humu jukwaani utadhani upemacano anasajiliwa kesho
 
Sio kina upemacano
 
.@David_Ornstein on Willian:


“He is 31, going on 32 but that means he brings experience. He can help the young players Arsenal are trying to develop come through & he can also help bring a winning mentality & culture that Arsenal are trying to build.” [Ornstein & Chapman Podcast]
 
Transfer Summary so far:

• Willian to Arsenal all but done
• Arsenal closing in on Coutinho
• Aubameyang Staying
• Juventus in talks with Lacazette
• Arsenal want another CB
 
Willian dili ya hovyo hii, kuja kwa Willian maana yake Auba anaingia kati na Lacca atakuwa bench warmer,Hatumhitaji huyu ni bora Joelson wa Lisbon ambaye very promising.
Na pia anakuja kupunguza nafasi ya Martinelli. Tusubiri tuone
 
Na ilikuwa ni bonge la mistake kumsajili Lemar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…