Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,990
- 79,060
Tangu msimu umeanza Arsenal hatujafunga goli la set piece kwenye shindano lolote ambalo tumeshiriki.
Ukizifuata takwimu za hadi tarehe 10 October kwa timu za EPL na magoli ya set pieces ni Arsenal, liver na Forest ndiyo hawajascore goli la set piece.
Ghafla sana husikii kelele za set pieces, hakuna anayelaumu. Jana Madrid alikua anaongozwa 3 kwa 1, akashinda 4 kwa 3, magoli 3 yote kayapata kwenye kona.
Huko 𝕏 wanasema Madrid ni genius.