wenger wenger fanya mabadiriko tutakuja kujuta wenger.
Hakika namchukia AW.............Sijui kwa nini kamuweka benchi Djourou
Hapa ni kwenda kulala......Aaaaaaarrrrrrrgggggghhhhhh! :angry:
Haya vijana, next time muwe na adabu, na tabia ya kutukana mamba wakati mto NILE hamjavuka yatawatokea puani.
Salaamu kwa mjomba Wacha1.....mkalale sasa, acheni kulialia.
2 points lost! Alaumiwe Wenger why 8 changes? ana lake jambo!!:redfaces: