Rotation..., Hii ni FA.Our line up against Sheffield United kikosi cha kiduanzi kweli sijui Arteta kapatwa na na nn sikuhiz bt anyway lets hope for the best. #coyg#View attachment 1491111
Nyie wateja wetu, wewe omba mpewe Chelsea mjipigie tenaLondon babies mnatafuta msiba ?
Uyu pepe anapiga penati kishamba ivi ...? Anashindwa ata na John boko..alahh1st goal. PepeView attachment 1491166
Ni Manchester vs LondonNyumbu wapewe City watupunguzie mzigo, huwa wanamuotea![]()
Asante mkuu mtu wa green.Au nimekosea?




hahahaha mkuu"" umejuajeSisi tunataka nyie ..uyo nyumbu tutamla fainal akipita..Nyie wateja wetu, wewe omba mpewe Chelsea mjipigie tena
Nakukumbuka lile jukwaa letu pendwa la "APK ya DLS" miaka kama mitatu iliyopita hivi.Ukanipatia link ya FTS.By that time ulikuwa unatumia hiyo ID nami nilikuwa na ID nyingine pia kabla sijabadili.hahahaha mkuu"" umejuaje
Duh...chama kubwa tena. Jipangeni aisee acheni maneno.Chama kubwa Gunners, next stop Norwich


Nyumbu anachokifanya kwa Chelsea ni kumnunulia Iphone x na savana mbili,alafu kama anasukuma mlevi vile,dahcity anachokifanyaga kwa Arsenal, anamfunika gunia usoni anaanza kumpiga marungu.
Haha una kumbukumbu mkuuNakukumbuka lile jukwaa letu pendwa la "APK ya DLS" miaka kama mitatu iliyopita hivi.Ukanipatia link ya FTS.By that time ulikuwa unatumia hiyo ID nami nilikuwa na ID nyingine pia kabla sijabadili.
OkWacha ushamba wewe
Kwamba ukiwa business owner au Boss that you decide what time kwenda kazini ndo hutakua na stress ya kazi?
Kweli wewe jamaa ni boya.
Kwa taarifa yako tu, wenye stress za kazi ni wanao hold nafasi za juu.
Eti unajisifu una mke mzuri kwamba hata huyo mwana umemjobu haezi m dream what a ****? Huu ni ushamba uliopitiliza
Kwa namna unaandika hapa i can tell wee huna hata ajira achilia mbali kuwa boss. Watu waliofanikiwa huwa hawapo kama wewe.
Get lost motherfucker
Manyumbu mnajitutumua tu,lakini ukweli nikwamba mliposikia kuwa mmepangwa na Chelseafc mioyo yenu imezimia kwa hofu.Nyumbu anachokifanya kwa Chelsea ni kumnunulia Iphone x na savana mbili,alafu kama anasukuma mlevi vile,dah
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app