Huyo arteta usimpe hizo sifa sio zake pep ndio ameprove sane na Sterling sio arteta Will jrNamaanisha Ku-prove, sio ku-improve.
Unazani wewe ukipigwa na city na sisi ndo tunapigwa?usiongee sanaa.tunasubiri mechi yenu na man city next week tu si ni tarehe 25/6...?!



Hahahaha ikawaje sasaWachezaji wa Arsenal tuoneeni huruma CL nafasi ipo wazi kabisa kabisa kesho tukishinda ni point 3 pekee zinabakia




Hahahahahahaha umefika atua unasema iviiHuu msimu hakuna hata Europa, cha msingi tusishuke daraja tu



Dah!!!! Inasikitisha sana.Huu msimu hakuna hata Europa, cha msingi tusishuke daraja tu
Mkuu @Ollachuga usicheke hawa viumbe wana hali mbaya sana.Hahahahahahaha umefika atua unasema ivii![]()
sisi tupo na tutaendelea kuwepo ,jambo la kushangaza ni kuwa sisi tumecheza juzi na tumefungwa tukajadili hapa yameisha,Uzi huu wenyeji wamewaachia wageni watambe.
Hahahaha ni kweli mkuu..sisi ndo die fans wa arsenal tuliobakia apa ...wacha tuendelee kufarijiana maana hakuna namna sasa...gemu zote zilizobaki tunaeza poteza zote muhimu tusishuke daraja tu ..ata tukishuka basi tuhakikishe musimu ujao chap tu mapema tunarudi kwa kishindo na kubeba epl..sisi tupo na tutaendelea kuwepo ,jambo la kushangaza ni kuwa sisi tumecheza juzi na tumefungwa tukajadili hapa yameisha,
jana wamecheza wengine cha kushangaza baada wakajadili matokeo ya mechi zao katika nyuzi zao wanakuja kujadili hapa hahahahahahahahha
sisi hatuwezi kimbia maana hakuna timu ambayo haijawahi kupitia magumu,kuna timu mpaka zilishawahi kushuka daraja kabisa,kuna timu zina umri wa mtu mzima hawana kombe ,kuna timu hawajui radha ya ubingwa wa EPL ,kuna timu zimekaa miaka 50 hazijawahi beba kombe........sisi hata 20 yrs bado mnakakamaza mafuvu.......
mtuache







mbona kama kuna harufu ya povu hapa hahahahahaha ujue mimi na wewe ni ndugu mkuu!!!!!!!Ni kweli kuna timu ina umri zaidi ya miaka 100 haijawahi kubeba UCL
Sent using Fly in any Weather.
London is redHahahaha ni kweli mkuu..sisi ndo die fans wa arsenal tuliobakia apa ...wacha tuendelee kufarijiana maana hakuna namna sasa...gemu zote zilizobaki tunaeza poteza zote muhimu tusishuke daraja tu ..ata tukishuka basi tuhakikishe musimu ujao chap tu mapema tunarudi kwa kishindo na kubeba epl..
CFC![]()
EPL mzeeHahahasio povu. Au ww ulikuwa una maanisha ubingwa upi?
Sent using Fly in any Weather.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahahakuna uzi wake flani niliusomaga, jamaa yupo deep sana kwenye hizo aspects.
Sent using Fly in any Weather.
sisi tupo na tutaendelea kuwepo ,jambo la kushangaza ni kuwa sisi tumecheza juzi na tumefungwa tukajadili hapa yameisha,
jana wamecheza wengine cha kushangaza baada wakajadili matokeo ya mechi zao katika nyuzi zao wanakuja kujadili hapa hahahahahahahahha
sisi hatuwezi kimbia maana hakuna timu ambayo haijawahi kupitia magumu,kuna timu mpaka zilishawahi kushuka daraja kabisa,kuna timu zina umri wa mtu mzima hawana kombe ,kuna timu hawajui radha ya ubingwa wa EPL ,kuna timu zimekaa miaka 50 hazijawahi beba kombe........sisi hata 20 yrs bado mnakakamaza mafuvu.......
mtuache


zimeanza kauli za kishujaa sasa