Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Willock again
Haha hajui jana umelala vizuri sana!Daah inauma sana kuquotiwa na kutolewa mapovu yasiyonihusu. Tolerance ni kitu kidogo ila chenye maana kubwa sana.
Tumeshinda ngapi?
Jiandae kwa kipigo



tuache na sisi tutabasamu 



Nipe tokeo mkuu sikucheki gemu hali haikuruhusuJiandae kwa kipigotuache na sisi tutabasamu
![]()
Asante mkuu mtu wa green.Au nimekosea😄?2 0
Nketiah
Willock
Shukrani.
LolHongereni sana jamaa, mnaisogelea Europa.
Shukrani.
Haya tunahamia jukwaa lililo hot wakati huu sasa😆
Wanaongea sana hawa jamaa aiseeKule leo kuna msiba lazima.
Wanaongea sana hawa jamaa aisee
Arsenal 2 kashindaNipe tokeo mkuu sikucheki gemu hali haikuruhusu
Sasa hapa JF wanaonesha mechi mkuu, mimi Arsenal ikicheza huwa naacha shughuli zangu zote naconcetrate katika game, sasa ulitaka tupige zogo hapa wakati chama lipo uwanjani?Haya majamaa yanajifanya hayafuatilii timu yao, yakishinda hii mechi utayaona yanakuja hapa kufanya analysis za uongo na kweli na muendelezo wa vitetesi uchwara.
Mkishinda Mmbaki huko huko tuachieni jukwaa tutawale.
Sent using Fly in any Weather.
Offside kabisa2nd goal. WillockView attachment 1488952