Naona unaota ndoto za mchanaArsenal tuvunje kibubu tusajili wachezaji watatu tu wa bei mbaya,tumpate Partey,tupate center half mmoja matata km Kolibaly kupatner na Saliba na tupate left flank moja ili Auba aingie Central striker, hakika tutatoa ushindani na jezi tutazivaa mchana kweupe.![]()
Nyie kwani mnaishiwaga maneno basi,Partey now kuja Gunners mnaona ndoto ila akija mtasema tumepigwaNaona unaota ndoto za mchana

Partey hawezi akaacha benzi akaenda kwenye vitzNyie kwani mnaishiwaga maneno basi,Partey now kuja Gunners mnaona ndoto ila akija mtasema tumepigwa![]()
Wewe ulitaka aanze Nani?Our line up against Sheffield United kikosi cha kiduanzi kweli sijui Arteta kapatwa na na nn sikuhiz bt anyway lets hope for the best. #coyg#View attachment 1491111
karudiOur line up against Sheffield United kikosi cha kiduanzi kweli sijui Arteta kapatwa na na nn sikuhiz bt anyway lets hope for the best. #coyg#View attachment 1491111
Hahahaaa acha tu brother, labda leo atatuonesha maajabukarudi
na Magu pia nasikia ni wetu hahahhjhahahahhaArsenal yapata Rais mwingine Africa.....ni Rais wa Malawi ChakweraView attachment 1491142
Unazipatia wapi hizi GIF?1st goal. PepeView attachment 1491166
London babies mnatafuta msiba ?Man u sikashida Jana?
Waachane na maswala ya draw watupe huyu Nyumbu
Nyumbu wapewe City watupunguzie mzigo, huwa wanamuoteaMan u sikashida Jana?
Waachane na maswala ya draw watupe huyu Nyumbu
