Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapo ulipo una stress za maisha yako ukichanganya na stress za Arsenal unayafanya maisha yako yawe mafupi si Bora tu uamie team nyingine.
Hahahahaahahahahahah.

Kwa sababu sote tunatumia fake ID. Just for your information, mimi ni mteja wa DSTV compact and that should tell you a lot about me. For the past 5 years I have travelled to more than 10 countries in the world for holidays huo ni wastani wa nchi mbili per year.

Usione kila mtu ana njaa kama wewe boyaaa
 
Relief Mirzska Mzee naona unauwelewa mdogo sana kuwa na stress haimanishi mpaka uwe na umasikini unaweza ukawa na fedha kiasi au tajiri na pia ukawa na stress.Stress inajumla ya mambo mengi ikiwemo mapenzi na ndoa kiujumla ( Migongano ndani yake,kukosa mtoto),Kazi mfano mzuri unaweza ukawa na kazi nzuri lakini hiyo kazi haikupi muda wa kupumzika hii pia inaleta sometimes stress, Kutokuwa na uhusiano mzuri na wazazi wako au kufiwa na wazazi hii pia inaleta stress atakama una hela,Kutengwa na familia n.k
 
Comment yako ya kwanza umeiandika ki dharau sana. Sikutaka kujisifia mkuu lakini inabidi tuelezane tu sometimes.

Again umekwenda chaka, uelewa wangu mdogo?? Sitokubishia maana kama nlivyosema hatujuani zaidi ya hizi fake IDs.

Hayo mambo uliyoyataja hapo kwamba yanaweza leta stress yote yamenipitia kushoto.

Mapenzi na ndoa?? Kuna watu humu wamebahatika kuniona na mke wangu na wengine mimi ni boss wao kwa hiyo wanaijua family yangu, I tell you I have a best marriage and a beautiful wife that may be you will never even dream to have. And beautiful boys.

Kazi: mkuu mimi nafanya kazi ambayo najipangia when to go on leave, mimi ofisini kwangu na nyumbani kwangu ni umbali wa dakika 1. I mean nafungua geti la nyumbani kwangu na kuingia ofisini kwangu (again watu niliowaajiri kutoka humu humu JF wanaelewa).

My parents: huko ndio usiseme, kwa namna uhusiano wangu ulivyo na wazazi wangu, walinitamkia dhahir tukiwa nchi Saudia Arabia kwamba wameniridhia duniani na akhera, tulikuwa tunafanya nini Saudia mimi na baba yangu na mama yangu?? Hiyo ni issue nyengine.

Kutengwa na family: mkuu kama nlivyokwambia tunatumia fake IDs, anyway sio kila mtu njaa humu jukwaani.

Arsenal ilikuwa inanipa stress miaka hiyo not today. Miaka ya 2011-2014 huko Leo nshazoea. Hata humu tupo kimya tu tumewaachia nyinyi mpigizane kelele Sisi tushapigizana kelele zamani sana Leo tunaangalia mpira kwa mtizamo mwengine .
 
Moja ya makosa makubwa yatakayofanyika under arteta's stewardship ni kuondoka kwa Guendouzi.

Hii itakuwa ni sawa na ishu ya Gnabry au ox.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, ni Guendouzi ndio ameuambia uongozi wa Arsenal kwamba hatoiacha offer itakayokuja. Na wala sio Gunners kumwambia au hata kuonesha ishara kwamba hana nafasi Arsenal.

Guendouzi ameona sera za timu hazina mashiko kwenye mpira wa sasa na wala hana haja ya kupoteza muda wake Arsenal.

One of the very talented midfielder of the current time.
Siafiki kabisa kuachwa kwa huyu dogo ktk kipindi hiki, madogo wa kuachwa ni kina Wilock na Niles
Kitendo cha kumpa mkataba Luiz na Cedric alafu kumuacha Mateo ni ufala
 
Hivi kama timu ina mipango kweli unamuachaje beki hatari na upcoming kama Hakimi mpaka anaenda Inter kwa bei cheee?alafu wewe unasajili Cedric?khaaaaaa.....
Unaachaje Dayot mpaka Chelsea nao wameingia na watamchukua naamini
Wanazingua, don't learn from their stupid mistakes,hapo wanapiga hesabu za beki wa ligue 2,Arsenal now hatuhitaji beki wa kumjaribu, tunatakiwa tupate beki aliyeprove anaweza.
 
Moja ya makosa makubwa yatakayofanyika under arteta's stewardship ni kuondoka kwa Guendouzi.

Hii itakuwa ni sawa na ishu ya Gnabry au ox.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, ni Guendouzi ndio ameuambia uongozi wa Arsenal kwamba hatoiacha offer itakayokuja. Na wala sio Gunners kumwambia au hata kuonesha ishara kwamba hana nafasi Arsenal.

Guendouzi ameona sera za timu hazina mashiko kwenye mpira wa sasa na wala hana haja ya kupoteza muda wake Arsenal.

One of the very talented midfielder of the current time.
Acha aende hana discipline, ni promising player ila anajiona km yupo peak now.
 
Wanazingua, don't learn from their stupid mistakes,hapo wanapiga hesabu za beki wa ligue 2,Arsenal now hatuhitaji beki wa kumjaribu, tunatakiwa tupate beki aliyeprove anaweza.
Kwa sasa EPL tutaendelea kuona majirani wanachukua mpaka siku Tottenham Hotspur atakapobeba ndio akili za viongozi zitawarudi ila kwa sasa tutaendelea kushiriki ila sio kubeba makombe
 
katika Room sina matatizo nayo ni Hii ila nawakumbusha Mabingwa Ni Liverpoolfc sababu ya kuwakumbusha msikate tamaa mmeona tulikuwa tukishangilia kipindi gani cha shida na raha mpaka leo heshima imerudi YNWA!
 
Screenshot_20200627-171222_YouTube.jpg
 
Hivi kama timu ina mipango kweli unamuachaje beki hatari na upcoming kama Hakimi mpaka anaenda Inter kwa bei cheee?alafu wewe unasajili Cedric?khaaaaaa.....
Unaachaje Dayot mpaka Chelsea nao wameingia na watamchukua naamini
Mkuu, Soares usimunderstimate kihivyoo,km hatokua injury prones basi bellerin bench linamuita maana kaflop vibaya mno.
 
TRAINING: 27/6/2020

Martinez, Macey, Hillson

Bellerin, Tierney, Sokratis, Holding, Cedric, Mustafi, Luiz, Kolasinac, Clarke, Medley, Swanson

Ceballos, Torreira, AMN, Willock, Xhaka, Saka, Smith

Lacazette, Aubameyang, Pepe, Nelson, Nketiah, Coyle

#SHUARS #FACup
 
David Luiz signed a 1 year deal on significantly reduced terms, which allowed Arsenal to also offer permanent contracts to Cedric and Mari. [@TeleFootball]
 
Arsenal are in advanced talks over a potential deal to sign Dominik Szoboszlai this summer but face competition for the £22.7m-rated RB Salzburg midfielder, according to reports in France via Football London.
 
Mkuu, Soares usimunderstimate kihivyoo,km hatokua injury prones basi bellerin bench linamuita maana kaflop vibaya mno.
Na mimi mashaka yangu yapo hapo hapo sasa, maana mpaka mkopo umeisha hajacheza hata game moja, sisi tunaponzwa na mawakala amini hivyo......
Wakala hawezi kuwa upande wa timu hata siku moja yeye anachowaza ni kutengeneza pesa kupitia mchezaji, kama huyu Kia Joorabchian huyu kubababake katuingiza chaka kwa Luiz, kama yeye anatujali kwanini asimlete Coutinho au Willian na wote ni wachezaji wake?
Hawajui kwanini Arsene aligoma kufanya nao kazi hawa wapiga dili
 
Arsenal are in advanced talks over a potential deal to sign Dominik Szoboszlai this summer but face competition for the £22.7m-rated RB Salzburg midfielder, according to reports in France via Football London.
Na jamaa wapo tayari kuchukua kwa awamu katika vipindi vitatu,lakini kwakuwa PSG, na Milan wameingilia dili hapo tusahau
 
Back
Top Bottom