Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Ole sio kocha,angekua Arsenal kwa wachezaji hawa tungekuwa wa 50 hukoOyaa wakulungwa wenzangu hapa kwa arteta naona kama tumepigwa ...bora hata ole gunnar sosha


Ole sio kocha,angekua Arsenal kwa wachezaji hawa tungekuwa wa 50 hukoOyaa wakulungwa wenzangu hapa kwa arteta naona kama tumepigwa ...bora hata ole gunnar sosha


Hawa watu wa board yetu nao wana shida kubwa tu.Huko hawachelewi #Artetaout, watu wana hasira, ila kwa hili wachezaji wanatukosea sana mashabiki,unaweza jiuliza kwa nini Arsenal waligoma kumpa mshahara mzuri Ramsey kwa midfield hii,Ozil hatumiki ok basi muuze mshahara wake mpe Ramsey
Nipahifadhi hapo nilipobord.Aisee, yaani hata jinsi ya kuwacheka hakuna.
Hili turubai mjue na wenzenu wanalihitaji, siyo ling'ang'anie kwenu tu.
Msiba unaofata mtalilipia wenyewe.
Kama huamini kocha wetu sio kocha anatembelea kivuli ngoja mechi zilizobakia za wolves,Liverpool na Tottenham Hotspur kati ya hizo mechi 3 yoyote atakayoshinda ntaamini yupo vizuri na next season up to 10 games tutakuja kushtuka tushachelewaKocha muache!
This record imenitisha kiaina ila kesho na uhakika hatutadhalilishwa ila tukumbuke hawa watoto walitufunga Emirates first game na pia walitunyima nafasi ya kwenda Champions league hvyo ni maadui zetu wakubwa wachezaji wa Arsenal wajitambue na wajue Dunia inawaangalia gameView attachment 1483746
Bwana weeee yule muhindi ni hovyo kabisa ndio aliyeshiriki kuharibu timu,yule ndio kirusi kabisa alisababisha Sven akasepa....amezingua sana yule nae ni sababu ya sisi kuwa hapa tulipo.....Kocha hana shida kapewa zigo la miba, nimegundua hata Emery hakuwa na shida kivile tulimuonea tu
Huyu kocha kapewa zigo la mavi ahangaike nalo,Kama huamini kocha wetu sio kocha anatembelea kivuli ngoja mechi zilizobakia za wolves,Liverpool na Tottenham Hotspur kati ya hizo mechi 3 yoyote atakayoshinda ntaamini yupo vizuri na next season up to 10 games tutakuja kushtuka tushachelewa
Kwa hapa sawaSina hakika kama ni kocha ni mzuri
Kuna utofauti wa kuwa coach na manager.Tactical approach yake nzuri,anakosa world class players wawili watatu,we mtu midfield Guendouz kufunga shida ht kuassist tabu,dakika ya 80 umefungwa bado unacheza back pass, kudrive timu anashundwa,hivi kwa zile knockout za UEFA ataweza huyo,kwenye ule mziki wanaocheza kina Thiago alcantara,James rodriguez mwanzo mwisho.
Record ya Arteta Ugenini katika mechi 7 ni
Win 0
Draw 5
Loss 2
Ina maana Arteta ana point 5 katika mechi 7 za Ugenini, equivalent to 0.7 point per game. In a long run, Arteta is likely to get 13.5 ie 14 points for away games all the season.
A lesson learned here, "You shouldn't take a driver under instruction and handle him/her an ambulance".
Arsenal is in critical condition, it therefore needed an experienced Doctor and not an Intern. Remember, Arteta is not Guardiola! He might be having football brain (knowledge) but experience matters.
I see Arsenal (the Gunners) becoming even more worse under the Spaniard tactian.