Timu zenu muwe mnazitaja kabisa, maana bingwa ni mmoja tu wengine ni km mnakuja kutolea stress humu.ARSENAL FANS LIVES MATTER![]()
Washabiki wetu tunajua wamejaa huko,ila watarudi nyumbani sikuMwenzenu mmoja keshakataa maumivu kaja sehemu salama na yenye furaha. Wewe unasubiri nini ndugu yangu? Karibu nyumbani Starmford BridgeView attachment 1486068

Wanaweza kuongea hivyo kumridhisha ingekuwa wanaongea kutoka moyoni wangefunguka bila hata kuhojiwa Will jrSasa hapo unabishana nao wao maana mimi sijasema hilo
Gunners wote ni watu wa dini sana,kwani unanionaje mimi?Hahahahakuna uzi wake flani niliusomaga, jamaa yupo deep sana kwenye hizo aspects.
Sent using Fly in any Weather.
KwakweliTimu zenu muwe mnazitaja kabisa, maana bingwa ni mmoja tu wengine ni km mnakuja kutolea stress humu.
Duuh!.. Naombea iwe rumours tuRumours are circulating that Bernd Leno may face up to a full year on the sideline following the injury he sustained at the Amex Stadium on Saturday.
so long as the sex machine through which you were brought to this world is there, we gonna use it to breath
Poleni sana, na huyo jamaa wala hakupewa njano na refa, mchezo wa mpira saa ngyingine ni karaha badala ya rahaRumours are circulating that Bernd Leno may face up to a full year on the sideline following the injury he sustained at the Amex Stadium on Saturday.
Sure mkuu,alafu baada ya hapo Lacazette alimgusa kidogo tu kipa wa Brighton akala yellow.....Poleni sana, na huyo jamaa wala hakupewa njano na refa, mchezo wa mpira saa ngyingine ni karaha badala ya raha
Wewe endelea kukumbatia maumivuWashabiki wetu tunajua wamejaa huko,ila watarudi nyumbani siku
#mja asili aachi asili.![]()
Kama povuso long as the sex machine through which you were brought to this world is there, we gonna use it to breath


David luiz ?????mamamaeDavid Ornstein confirms that:
•David Luiz has signed a 1-year contract at Arsenal.
•Cedric Soares has signed a 4-year contract at Arsenal.
•Pablo Mari has signed a 4 year contract at Arsenal.
Arsenal fans, what are your thoughts on this?
#AFC




sio mbaya sana kwasababu Luiz anakwenda kuwa backup na sio 1st eleven naamini,japokuwa jamaa katoa maboko lakini ubovu wa timu yetu nao unachangia kwa kiasi kikubwa kwa sasa.David Ornstein confirms that:
•David Luiz has signed a 1-year contract at Arsenal.
•Cedric Soares has signed a 4-year contract at Arsenal.
•Pablo Mari has signed a 4 year contract at Arsenal.
Arsenal fans, what are your thoughts on this?
#AFC