Kabisa mkuu sio kwa mtazamo wako tu ni mtazamo wa mashabiki wengi ila Pepe ni wakumpa muda muda kidogo, lakini Lacazette,Sokratis dahhh wametuangusha sana,Unajua kilichoicost timu ni kuachia wachezaji wake kirahisi sana ambao wangekuwa tegemeo leo hii tena pasipo kuwa na replacement ya uhakika,naamini kabisa management ilifail kwenye mipango,
Mshabiki wa Arsenal yeyote anajua hii kero hivi muda ambao tuliosota kuwavumilia kina Ramsey mpaka wanafikia kuwa wachezaji wakubwa wa kutegemewa na klabu ndipo klabu inamwacha tena bure, alafu replacement yake unaleta Guendoz na kutegemea kina Wilson,Emile Smith Rowe na Nketia!!!!!!
Najipa imani kupitia Arteta dirisha hili tutakuwa active tu,anatia matumaini kuwa mara kwa mara anasikika akiubust uongozi juu ya maboresho ya kikosi maana kashaonja kuwa katika timu yenye wachezaji wenye high profile,na kuna taarifa kuwa anataka kumoffload Guendoz nafikiri sio yeye tu peke yake fagio litawahusu wengi ila huwezi ondoa timu nzima lazima uwapunguze kidogokidogo