Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kocha hana shida kapewa zigo la miba, nimegundua hata Emery hakuwa na shida kivile tulimuonea tu
I think we are on the same side,unajua tangia Unai aondoke last year hadi sasa Arsenal ilikuwa ya 8 au 9 ila up to now Arsenal bado ni ya 9 ujue
 
Huu msimu hakuna hata Europa, cha msingi tusishuke daraja tu
Hatuwezi relegate.ila pia kushiriki hayo mashindano inabidi tusahau.Toti tumecheza gemu sawa na ametuacha mbili ila sidhani kama tutamgusa.Hapa ni kutulia tu sahivi pointi itakayokuja vizuri,itakayoponyoka haya.
 
Naona mmechezeshwa sambogile sambamba ,hapo vipi inabamba.
 
Emery alilazimishwa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja na wachezaji wa hovyo, Arteta ni kocha mzuri akipata wachezaji wazuri for now hayupo under pressure coz anajificha kwenye mwamvuli wa Emery, lakini isingekuwa hivyo saivi ingekuwa #Artetaout, Arteta namkubali sana kuliko kocha yoyote nisingependa kuona anaiacha gunners.
Mkuu samahani, vitu gani vinakufanya umkubali Arteta.
 
Kaanza Nketiah,then Willock,Nelson, wameingia dk 85 dk 94 goli,Arteta anafurahisha sana

Sijui kwa nini Martinelli hachezi ila hao nliowataja Arteta huwa hawaachi
 
Emery alilazimishwa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja na wachezaji wa hovyo, Arteta ni kocha mzuri akipata wachezaji wazuri for now hayupo under pressure coz anajificha kwenye mwamvuli wa Emery, lakini isingekuwa hivyo saivi ingekuwa #Artetaout, Arteta namkubali sana kuliko kocha yoyote nisingependa kuona anaiacha gunners.
Bado sijazama kwenye page zetu kuona comments za mashabiki.Ngoja niendeko.
 
Mkuu samahani, vitu gani vinakufanya umkubali Arteta.
Tactical approach yake nzuri,anakosa world class players wawili watatu,we mtu midfield Guendouz kufunga shida ht kuassist tabu,dakika ya 80 umefungwa bado unacheza back pass, kudrive timu anashundwa,hivi kwa zile knockout za UEFA ataweza huyo,kwenye ule mziki wanaocheza kina Thiago alcantara,James rodriguez mwanzo mwisho.
 
Painful
20200620_194105.jpeg
 
Emery alilazimishwa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja na wachezaji wa hovyo, Arteta ni kocha mzuri akipata wachezaji wazuri for now hayupo under pressure coz anajificha kwenye mwamvuli wa Emery, lakini isingekuwa hivyo saivi ingekuwa #Artetaout, Arteta namkubali sana kuliko kocha yoyote nisingependa kuona anaiacha gunners.

Sina hakika kama ni kocha ni mzuri
 
Back
Top Bottom