Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ARTETA SIO KOCHA KABISA. KOCHA HAJUI KUPANGA KIKOSI, TIMU INASHINDWA KUPIGA SHUTI HATA MOJA LANGONI MWA MAN CITY?

PAMOJA NA KWAMBA TIMU WACHEZAJI WENGI NI MAKAPI LAKINI PIA ARTETA NI BOMU ZAIDI.

ANAFAA KUENDELEA KUWA KOCHA MSAIDIZI, UONGOZI ULIMSHOBOKEA KUMPA KANDARASI YA UKOCHA, BADO SAAANA SIONI TIMU IKIMALIZA NDANI YA TOP 4 MISIMU YOTE CHINI YA ARTETA.
Tumia akaunti yako ya Milangomitatu, naona unaumia sana kocha wako Emery kufukuzwa
 
From || Reports today by Flamengo's largest news editorial @ColunadoFla state that Arsenal have already signed Pablo Marí permanently, the fee could total €16m in total including his €5m loan spell.


*NEW* from || Vice President of Flamengo, Marcos Braz, has confirmed thar Arsenal will sign Pablo Marí permanently for €4m. So the fee is €9m in total.
FB_IMG_1592591486486.jpg
 
Arsenal will exercise their option and sign Pablo Mari permanently. Flamengo already have received €5 million for the loan. In total, the transaction can reach upto €16 million, with bonuses. [@ColunadoFla]

With the purchase, Pablo Marí became the most expensive defender ever sold by Flamengo. The player will undergo surgery after the injury he picked up against Manchester City.

Full story:

Acordo selado! Após empréstimo, Arsenal concretiza compra de Pablo Marí, do Flamengo - Flamengo | Coluna do Fla
 
This record imenitisha kiaina ila kesho na uhakika hatutadhalilishwa ila tukumbuke hawa watoto walitufunga Emirates first game na pia walitunyima nafasi ya kwenda Champions league hvyo ni maadui zetu wakubwa wachezaji wa Arsenal wajitambue na wajue Dunia inawaangalia game
20200619_162818.jpeg
 
ARTETA SIO KOCHA KABISA. KOCHA HAJUI KUPANGA KIKOSI, TIMU INASHINDWA KUPIGA SHUTI HATA MOJA LANGONI MWA MAN CITY?

PAMOJA NA KWAMBA TIMU WACHEZAJI WENGI NI MAKAPI LAKINI PIA ARTETA NI BOMU ZAIDI.

ANAFAA KUENDELEA KUWA KOCHA MSAIDIZI, UONGOZI ULIMSHOBOKEA KUMPA KANDARASI YA UKOCHA, BADO SAAANA SIONI TIMU IKIMALIZA NDANI YA TOP 4 MISIMU YOTE CHINI YA ARTETA.
Siku hizi vipi, hauhitaji tena wanaume mkuu????? 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
 
usiongee sanaa.tunasubiri mechi yenu na man city next week tu si ni tarehe 25/6...?!
Daah hizi comment zenu zimenichekesha sana. Eti washankupe
Hao washankupe wanachonga sana kama wao unbeaten kumbe kina bournamouth wamejipigia sana tu
Sisi binadamu huwa tuna vituko sana. Yan unategemea kilichokupata wewe kitanipata na mimi? Huwa haipo ivyo
 
Back
Top Bottom