Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mechi zilizobakia naona tutafanya vibaya sana tuna game nyingi ambazo naona hatutapata matokeo chanya, tatizo la arsenal ni wachezaji ila mostly line ups za makocha wetu tangia kipindi cha mwisho cha Wenger hadi sasa huwa ni za utani kwa sasa Arsenal haina dira inahitaji kuombewa dua nzito
View attachment 1482070
Heeeee!hatuna kocha(hapa tukubali tumepigwa),hatuna wachezaji,hatuna direction,tumelogwa!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom