Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Inatia matumaini
Umezidi sasa kaka. HahahahahahaLeo mjitahidi mpate hata droo.
Siyo powa kufungwa mfululizo.
Umezidi sasa kaka. Hahahahahaha
Yule Arteta juzi alileta ujinga.Hahaha, EPL ilipotea, hizi shangwe hazikuwepo kwa muda.
Acheni tushangilie tu.
Yule Arteta juzi alileta ujinga.
Willock na Nketiah?? Mbele ya pepe na laca???
Ngoja tuoneLeo kawawekea kikosi chenu, ngoja tuone mnatoka vipi.
Haters wana uchu na huu uzi.
Wanaumendea na kuulia timing tu!
Mkuu habari yako naona unasogea sogea tu.Acha kujihami
Tulia mbona una hofu kijana.Haters wana uchu na huu uzi.
Wanaumendea na kuulia timing tu!
Mkuu habari yako naona unasogea sogea tu.