msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,679
- 8,784
Underdog
nilivyoona kikosi tu, sikupoteza muda wangu kuangalia mechi.na ndio matokeo niliyoyategemea
Haya ma*i tuliyochukua Chelsea yanatugharimu tena


umenichekesha sanaAlaumiwe Wenger tu hapa hamna jinsi
That's FACT umeongea tumempamba sana Arteta ila hatusogei tangia aje tulikuwa wa 10 now tupo wa 9 hii timu sijui ina shda gani who is to blame?
Waja mna maneno,khaaaaaMgonjwa mishipa imeziba, drip za maji hazipiti.
Kwani wewe ulikuwa unapenda nani ashinde game ya jana?Hata Manchester city wakicheza watu 9 uwanjani hamna uwezo hata wakupata droo
MANCHESTER CITY Mkuu.Kwani wewe ulikuwa unapenda nani ashinde game ya jana?
Achana nae nae huyo anabwabwaja tuHuo ni uongo unalijua benchi la Leicester wewe
Marehemu alikuwa Muislam swafi..hatukulaza msiba. Tulishazika.Poleni ndugu, kwani mazishi ni saa ngapi?
Unai ameondoka lini?Mkuu kutoka 10 hadi 9 huoni kuwa imesogea???
Aiseeeeehhhh....timu inafungwa jijini Manchester lawama anapewa raia aliye huku Ubungo maziwa hahahahahaha ndio maana sihami hii timu,naipenda mnooooJamaa kanichekesha sana aisee...!
Aiseeeeehhhh....timu inafungwa jijini Manchester lawama anapewa raia aliye huku Ubungo maziwa hahahahahaha ndio maana sihami hii timu,naipenda mnoooo
Mungu anawaona ...yaani sisi tuwauzie OG ambaye amewapa kombe la EUROPA alafu nyinyi mnatuuzia Luiz anayetutiririsha kwenda chini huko.....Chelsea bana kuuza mbuzi kwenye gunia hawajambo