Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Zimebaki gemu nane!
Inawezekana wanagongwa Troy Deeney alisema kila timu ina mchezaji mmoja au ziada wanagongwa, ila timu yetu naona ina zaidi ya wachezaji 5 wanagongwa next match vs southampton hii hatutashinda naapa kwa Mungu kwa kiwango hiki cha dhidi ya Brighton tena timu yenyewe 2020 haijawah kushinda ila wameshinda leo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Of late I have come to realize that our players are gays that y, they are fragile/ weak
[emoji23][emoji23][emoji23] daahAisee, yaani hata jinsi ya kuwacheka hakuna.
Hili turubai mjue na wenzenu wanalihitaji, siyo ling'ang'anie kwenu tu.
Msiba unaofata mtalilipia wenyewe.
Nimepoteza imani na kocha kabisa
Southampton watawauwa sasa.Next match tena Away na Southampton [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuweni wapole huu msimuInawezekana wanagongwa Troy Deeney alisema kila timu ina mchezaji mmoja au ziada wanagongwa, ila timu yetu naona ina zaidi ya wachezaji 5 wanagongwa next match vs southampton hii hatutashinda naapa kwa Mungu kwa kiwango hiki cha dhidi ya Brighton tena timu yenyewe 2020 haijawah kushinda ila wameshinda leo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kocha hana shida kapewa zigo la miba, nimegundua hata Emery hakuwa na shida kivile tulimuonea tuKocha muache!
[emoji23][emoji23][emoji23]Football is very funny
Watu mnataka mshiriki international cups next season, forget about it.Kuwa calm tu sahivi.Bunch of fools kroenke, coach and players
Interesting!
Emery hakuwa na sababu ya kufeli boss,alipewa kila kitu.Kocha hana shida kapewa zigo la miba, nimegundua hata Emery hakuwa na shida kivile tulimuonea tu