Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na badoooo...
Screenshot_20200618-001501_Status%20Downloader%20for%20Whatsapp.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its finally back!
.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!baada ya kuikosa burudani ya soka la uingereza kwa muda wa takribani miezi mitatu sasa imerudi tena,
.
Yes ni leo utamu umerejea tena Manchester city akimkaribisha Arsenal pale Etihad,
.
Mchezo huu ulitakiwa kupigwa machi 11 lakini ukahairishwa kutokana na Corona
.
Tena ilichochewa zaidi na taarifa ya baadhi ya wachezaji wa Arsenal kusemekana kukutana na rais wa Olympiacos wakati wa mchezo wa Europa league kati ya Arsenal na Olympiacos,
.
Rais wa Olympiacos wakati huo alikuwa akiugua ugonjwa wa Corona,Basi ngoma ikahairishwa bhana.
.
Pia siku chache Arteta nae akakutwa na maambukizi ya ugonjwa huo.
.
Kama kuna kaupande kalidhani kameepuka hiki kikombe basi kalijidanganya ngoma hii hapa tena Arteta uso kwa Uso na mwalimu wake na bosi wake wa zamani Pep Guardiola,
.
Arsenal watashuka dimbani leo wakiwa na wasiwasi wa kuwakosa Callum Chambers na Lucas Torreira japo kuna matumaini baada ya kieran Tierney kuwa fit tayari kwa mchezo kama akiamua kumtumia(Arteta).
.
Lakini upande wa pili huko Manchester City wachezaji wake wote wako fiti hadi waliokuwa majeruhi wameshapona kama vile Aymeric Laporte na Leroy Sane,
.
Kurejea kwa Laporte kutaifanya safu ya ulinzi ya City kuwa salama zaidi,Itawapasa washambuliaji wa Arsenal kufanya kazi ya ziada kupenya
.
Wachezaji wengi wanaweza kuwa hawana match fitness ya kutosha hasa wale wenye umri mkubwa kiasi kama vile Aguero,David Silva na wengineo badala yake yampasa Guardiola kuwaanzisha vijana zaidi.
.
Mfano anaweza kumuanzisha Phil Foden badala ya David Silva na G.Jesus badala ya Aguero inaweza kumsaidia zaidi.
.
Upande wa Arsenal namuona Arteta akianza na mfumo wa --- nampa nafasi Pablo Mari na Luiz pale nyuma huku Xhaka na Ceballos wakitawala dimba pale juu yao Ozil kama kawaida kule pembeni chini kabisa kushoto Tierney na kulia Bellerin.
.
Pale golini Leno kama kawaida na winga ya kushoto anakabidhiwa Aubameyang na ya kulia Pepe pale juu ataanza Lacazette
.
Kikosi cha City chaweza kuanza hivi Ederson,Walker,Fernandinho,Laporte,Zichenko,De Bruyne,Rodri,Silva,Bernado,Aguero,Sterling.
.
Japo nategemea mabadiliko zaidi ya damu changa kikosi cha City.View attachment 1481346
HiKi KiJaMaA sIjUi KaMa KiTaRuDi TeNa HaPa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusajili hatusajili kila siku Aaron anakuja na story za kupamba pamba mara huyu kakataa kusign anakuja Arsenal mara sijui nini Giants wenzetu hawapambi wao wanasajili direct,we like to hear those beautiful stories za kupamba pamba za Aaron mwenzetu ila hatuna kocha hatuna wachezaji timu ipo ipo kama binti anayetongozwa huku ananyonya vidole

Ha! Umeanza kumlaumu Aaron Arsenal?
 
Kusajili hatusajili kila siku Aaron anakuja na story za kupamba pamba mara huyu kakataa kusign anakuja Arsenal mara sijui nini Giants wenzetu hawapambi wao wanasajili direct,we like to hear those beautiful stories za kupamba pamba za Aaron mwenzetu ila hatuna kocha hatuna wachezaji timu ipo ipo kama binti anayetongozwa huku ananyonya vidole
Hahahahaha.

Kwahiyo mkuu lawama zote zimuendee aron???
 
Mimi lengo langu ni tumalize top 10 tu mengine ya sijui top ngapi siyatilii maanani.Tupo wa 9 sahivi tumecheza gemu sawa na wapinzani wetu.
Ila Mikel my coach dah!,Sasa Willock na Guendozi wanapambanaje na kina KDB na Sterling😆😆😆
 
Kwa mechi zilizobakia naona tutafanya vibaya sana tuna game nyingi ambazo naona hatutapata matokeo chanya, tatizo la arsenal ni wachezaji ila mostly line ups za makocha wetu tangia kipindi cha mwisho cha Wenger hadi sasa huwa ni za utani kwa sasa Arsenal haina dira inahitaji kuombewa dua nzito
20200618_082623.jpeg
 
Back
Top Bottom