Raul atuongezee wachezaji kama wanne, beki mmoja World class wa kupartner na Mustafi pale kwenye backline yetu, Pia lacazette namkubali sana huyu jamaa najua kweli kuna circumstances anapitia ila asiuzwe, Auba naona yupo tiyari kufia Arsenal kama Ozil, huyu sio snake kama V.persie, kama angekuwa wakuondoka leo Auba angeanza maringo kama ya Sanchez, ila muhimu watuongezee pale mbele wachezaji wazuri wakuongeza nguvu kwa hawa jamaa,kuna Wachezaji wengi tu kama vile Jack Grealish washaonesha mapenzi yao na Gunners na wapo peak sana, all in all confidence ya pepe imerudi, shida yake ni kuwa Clinical tu infront of the goal, Hii Arsenal naipenda na inahitaji marekebisho kidogo tu wala siyo major overhaul kama wanavyosema wengine.Bellerin ajiangalie sana, anaweza kuishia kwenye mitindo kama uchezaji wa Soares utadeliver hapo Arsenal, to be honest Belle is our weak link toka karudi injury, ni bora Maitland niles.
#coyg