Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unamfahamu @Ollarchuga OC lakini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hapa,jamaa chelsea ikipigwa anakimbilia matejoo
75259540_1412518475567404_882208449464206009_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MASHABIKI WA ARSENAL WALA MSIVUNJIKE MOYO BADO CHANCE IPO HII EPL HUWA HAITABILIKI HATA KIDOGO MPK MWEZI MAY NDO ITAJULIKANA ILA KWA SASA JIPANGENI TU KUSHINDA KILA MECHI AMBAZO MNAPASWA KUSHINDA KATIKA ZILE FIXTURE ZENU MKISHINDA TU MECHI 7 KATIKA 11 BASI TOP 4 NI UHAKIKA
NA UKIZINGATIA MMETOKA KWENYE EUROPA LEAGUE ITAKUWA INA FAIDA KWENU MTAKUWA NA WEEK YA KUPUMZIKA KILA MECHI NA HII ITAWASAIDIA WACHEZAJI KUPATA MDA WA KUREST NA KUFIGHT TOP 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chltako umetibuliwa mavi na bavarian unakuja kurest katika jukwaa la London Kings hahahaaaaaaaaa

London ia Red

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti London King.

London ina King mmoja tu. Chelsea. Unajiita London King wakati huna hata kombe la Ucl. Unatia aibu aiseee.

London king unatolewa nyaa na Olympiacos. Shtuka basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaanua matanga ya Europa lini gooners wenzangu??? Hahahahaha
Hii timu kweli ugonjwa wa moyo hadi nawaonea huruma. Mnatia huruma hahahahaha.
Tuanue matanga sasa gooners wenzangu maana wale olympiacos walitufanya kitu mbaya jamani.
Ila nimesikia Europa wameunda time huru mechi unaweza kurudiwa tena tunashinda hahahahaha.
Kazi mnayo msimu huu naskia mpo karibu na ile relegation.
Yaani Top class striker Aubameyang tunamvizia atawaacha kama Robin RVP msimu ule maana na yeye Juzi Europa amejua kwamba hajui akabaki anaduwaa.

#GGMU
 
Heshima ya unbeaten itabaki kwetu tu,hakuna mtu was kuivunja,hawa Liverkuku wamepambana naona upepo umekata,Watford wanajipigia huku
 
Aondoke zake. The Gunners shall essentially remain for ever. Abu nini bhana...wamepita Legandries kama Henry sembuse yeye? Unapenda kucheza UEAF kwa mgongo wa wachezaji wenzako..pambana ili uiwezeshe timu ifike huo.
Tunaanua matanga ya Europa lini gooners wenzangu??? Hahahahaha
Hii timu kweli ugonjwa wa moyo hadi nawaonea huruma. Mnatia huruma hahahahaha.
Tuanue matanga sasa gooners wenzangu maana wale olympiacos walitufanya kitu mbaya jamani.
Ila nimesikia Europa wameunda time huru mechi unaweza kurudiwa tena tunashinda hahahahaha.
Kazi mnayo msimu huu naskia mpo karibu na ile relegation.
Yaani Top class striker Aubameyang tunamvizia atawaacha kama Robin RVP msimu ule maana na yeye Juzi Europa amejua kwamba hajui akabaki anaduwaa.

#GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every team has to bow down on the only one THE INVINCIBLES. Liverpool oh tutamaliza bila kufungwa. Nyoooo... Nawaombea wabebe kombe miaka mingi imepita bila kulibeba.
 
Back
Top Bottom