mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,698
- 9,051
Hii timu sijaelewa inavyocheza toka 1st half leo yaani mpaka nimemmis Nketiah.....Hujaelewa nini mkuu
Wakifunga la pili tunaaga mashindano tutaweka wapi sura zetu mbona hii timu inataka kutuabisha shda ni nini jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yote imecheza vibayaHii timu sijaelewa inavyocheza toka 1st half leo yaani mpaka nimemmis Nketiah.....
Lacazette sijawahi kumwelewa msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlishawahi kuwa na mpira wa kuelekewekaa?Mpira wa kifala kabisa...hii ni arsenal au nyumbu wamevaa jezi zetu!!!!???
Maana haiwezekani,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushakufa tayari,yan kipa kanikera sanaHiv mnawapiga penati wa maana wakuu
Kama hamna fanyeni mmalize hii mech hii hii extratime
Kazingua parefu