Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla ya mechi walisema leo Arteta alipanga very strong team ,

Nikasoma tena line up nikakuta beki za kati ni Mustafi na Luiz...... nikacheeeeka

Sokratis, Luiz ,Chambers ,Holding ,Mustafi, Lacazette,
Leno wapo wengi ambao ni are not good enough for this
club Hamtakuja ku compete
for anything ni Aubameyang peke yake ambaye unaweza kumuita World class playerat this club waliobakia ni
Takataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana Arsenal wenzangu poleni sana!.. Maumivu tuliyo nayo hayana kipimo!.. Jana usiku kila nikilala nilikuwa namuona Lerno jinsi alivyosababisha ile kona ya kijinga sana.. Hata hivyo kocha alionyesha dhamira ya dhati sana kushindq hii game na kiukweli tulikuwa tumeshashinda mpaka kipa alipofanya uzembe wa karne.. Haya yote yatapita, tuna kocha ambaye namwamini sana, tuweni watulivu hii pia inaweza ikatusaidia kusababisha uongozi ukawa serious sana this time!. Tuweni na imani, timu yetu inapoga hatua ambazo kila mtu anaziona wazi. Acha turudi EPL tupambanie top four, naamini tutaweza chini ya mwamba Arteta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubir mchezaji wa arsenal aposti atoe ya moyoni nione reaction ya mashabiki ila hadi sasa naona wanategeana tu.
 
Baadhi ya maoni ya mashabiki kuhusu gemu ya jana;View attachment 1371382View attachment 1371383
4cb2812818bb48ff694e666d314390e1.jpeg
36f5875b117ad3f5f3903d78ba49d2c3.jpeg
f7f082c5f4e50615119cbb7c7ed91251.jpeg
e96e503ae54628473d629b5df80fd739.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom